ogopa kuwa tegemezi tatizo wewe unasubiri mpaka awe na shida ndo umsaidie kwan majukumu yako kama baba huyajui wanawake wengine kuomba kwao mwiko mtumie tu unapojisikia akirudisha ndo njoo jumjadili kutoa sio lazima kumpa taarifa
Si kwamba yeye pia hana madeni hapana, ila mwenzio ana moyo wa kutopenda kuweka wazi mambo yake ya kiuchumi..Jitahidi nawe uwe mvumilivu juu ya madeni yako..Anatoa kwasababu ya upendo na huruma yake kwako!