napenda kumsaidia mpenzi wangu sana
Utakuea umeolewa wewe na hujaoa
Hakuna aibu nitakayopata maishani kama ya kupewa na kutumia hela za mwanamke wakati mimi simpi kwasbb siku mkikwaruzana utajuta kumfahamu...nafuu kidogo kama ni Mke na sii mpenzi/dem/mchepuko
Kwanza kabisa huyo anakupenda sana na anafuture nawewe ila sasa ukisema uwe unampa hela direct wakati hataki usikae kimya kuna vitu ambavyo inabidi uwe unavifanya kama kumtumia zawadi za nguo viatu pia weekend moja moja unamwambia Leo nataka uende saluni kwa gharama yangu unamtumia hata arobaini elf hapo anaapriciate yani atakusmini sana na atajua kweli jspotezi mda... Kila lakheri brother.
Kama wewe ni mwanaume jipangeeee, uwe na kipato cha ziada
Mkianzisha familia si utamwomba achukue usukani ikifika tarehe 6???
Sorry sijaweza kukushauri kama ni sawa au si sawa maana wengine ni team #marufukukumpahelaboyfriend
Haoni aibu?
sijawahi msaidia
japo ninapenda akiwa na shida ni mtu wa kwanza kumsaidia
tatizo nyinyi mna siri sana mna solve matatizo yenu kwa nguvu kubwa sana
wakati ungemshirikisha mwenza wako uwenda ingekuwa rahisi sana
Aisee inategemea na mwanamke unayeweza kumwambia shida yako...kama ni wife at least kidogo japo pia kuna ka aibu flan sembuse dem/mpenzi? Nitawaambia washkaji zangu na kuwakopa tena bila manzi kujua