Ahsante kwa ushauri mkuu, katika maisha tusaidiane...
kwa nini una madeni unapenda maisha yaliyo juu ya kipato chako wewe
jifunze kubajeti pesa, hiyo hiyo unayopata utumie na utunze pia , niliwahi kuwa na mwanaume kama wewe yaaani mwanzoni nilijua tu amekwama ila alizidi hata trh 2 ya mwezi anasema nisaidie imagine mtu anaomba hadi hela anunue luku mara gas imeisha mara leo sijala shaaa nikona nadeal na mbulula hata matumizi yake muhimu hayajui, hivi kweli utatumia pesa yote iishe hujui umeme utanunua na nini, utapikia nini na utakula nini
Hapo usiulize mara mbili, Keshakuaminia na kakuona RIJALI kweli.. Sasa wewe endeleza uaminifu wako kwake, Hiyo bidhaa adimu sana huwezi pata Afrika ya mashariki!!!Kama unao nauhitaji mkuu....
changamka bro...tumia hicho hicho kipato chako kuanzisha mradi utakaokuhakikishia huwi na madeni ya kifala, huyo demu ni halali yako, ila ujue tuu,,, kuoa = to kuongeza majukumu, na mwanaume anahusika.......