Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

Jihad ndyo umewarudia wao sasa mabosi wa nchi wanahamia mafichoni sasa, Israel wanishi anga ya Iran na kuchagua target as they wish "OP Rising Lion🦁" hii ni Darby ya kuheshimiana.
Kafa shahidi makafiri hawapigani jihad😅😅
 
Kwenda zako huko dudukwee
Wewe unauwezo wakujua malengo ya mossad?
Nungunungu wa namanyere
 
Marekani yuko wapi kumsaidia shoga yake Israel?

Maana michuma chuma ya Iron Dome na THAAD aliyompa haimsaidii Myahudi kwa lolote

Vinu vya Mwajemi vinashuka tu kufanya maangamizi kila kona ya Israel
​
USA muhuni tu kama wahuni wengine kuwapa wenzie michuma chuma kiko wapi sasa
 
Kwenda zako huko dudukwee
Wewe unauwezo wakujua malengo ya mossad?
Nungunungu wa namanyere
Huna haja ya kuwehuka hapa ni mijadala ya kawaida tu.

Huna sababu yoyote au haja ya kutukana watu.

Besides, uwezo wa kufahamu malengo ya Mossad ninao.

Sifahamu kiwango chako cha elimu lakini hata weye pia waweza kufahamu uwezo wa Mossad ukitaka kufanya hivyo.
 
Zayuni alimnba ceasefire kwa kuwatumia Marekani na Ufaransa, baada ya Hizbollah kuenforce ceasefiee Zayuni akatumia opportunity hiyo kuivunja ceasefire kwa kuvamia positions na na kumbomb assets za Hizbollah.

Zayuni huwa anaomba ceasefire au kuanzisha preemptive strikes kimkakati huwa hamaanishi kwa dhati posture zake.
 
Marekani yuko wapi kumsaidia shoga yake Israel?

Maana michuma chuma ya Iron Dome na THAAD aliyompa haimsaidii Myahudi kwa lolote

Vinu vya Mwajemi vinashuka tu kufanya maangamizi kila kona ya Israel
​
Vimeshuka vingapi Ustadhat? Netanyahu bado yupo au hivyo vinu vimemuua? Na kamanda WA jeshi la Mayahudi kama mnavyowaita bado yupo on au na yeye vimemwondoa kama alivyodonolewa Yule wa upande wa pili?
 
Iran wanazuia media kuangalia jinsi wanavoshushiwa kipondo

Why it's difficult to report on situation in Iranpublished at 16:08 15 June
16:08 15 June​


As a reminder, the BBC can't send journalists to Iran because of restrictions from the Iranian government, which makes it hard to report on damage caused by Israel's offensive.

This means that we're getting regular updates about the situation after Iranian strikes on Israel, but there's much less information about what's happening after Israeli strikes on Iran.
 
Mtafutwa nyie na mashia , wazee wa jihad hata imamu wao kafia vitani...Hao mashia kwenye sherehe zao za imamu wao wanajipiga mapanga na wengi wanakufa ...Hawaogopi kufa ila nyie mbwa mmepewa kete ya mwisho msogeze hiyo nchi haitakuwepo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…