Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,246
- 15,067
Hezbullah wako very strong nyie subirini kama mambo yakiendekea hivi hamjikutu kaizunguka Tela Aviv yoteView attachment 3369573
wenzeko hao na misile zao washapelekwa kuzimu long time ago, hizo zilikua tambo tuu
Kipigo anacho pelekewa Israel mpaa USA kamua kuingia kwenye vita pia UK wako njiani kuingia kwenye vita.View attachment 3369642
Hamtorudi tena ,wathenge nyie sukumeni kete tena 😀😀😀hao ni shia kufa kwao ni kawaida
Furaha unapata wapi kwani mmemaliza mazishi ya makamanda 18 waliouwawa kama panya road?Sisi furaha yetu vinu vya Mwajemi vikipenya Israel, a terrorist state. Cheki vyuma hivyo
View: https://x.com/iamtrending05/status/1934063456808034410?t=1YU2P2NxaMQhhGVNJnxATg&s=19
Wanaficha hawa ,wasukume kete ya mwisho wajaribu habati yao ...Hao wanasubiria misaada ya USA😅Kipigo anacho pelejewa Israel moaa USA kamua kuingia kwenye vita pia UK wako njiani kuingia kwenye vita.
Iran piga hao kondoo walio potea.
Mbona naskia israel nae kapokea kichapo kizur tuIsrael ni hatari sana Mzee Baba, chukulia kabla hajaenda kuipiga Iran alishaitahadharisha wiki 1 kabla kuwa Iran ikae mkao wa kichapo lakini Iran haikumzuia Israel na ilitekeleza ahadi yake ya vita vile vile ilivyopanga duuuh!...?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kama kufa ni kawaida mnalilia nini? Op Rising Lion hiyo inaishi ktk anga la Iran, na wanachagua target as they wish, mpaka kieleweke, leo Ayatollah ameshaikimbia nchi, Israel wamemwambia yeye ni moja ya legitimate target kokote atakakoenda except awe amejiwahisha akhera willinglyView attachment 3369642
Hamtorudi tena ,wathenge nyie sukumeni kete tena 😀😀😀hao ni shia kufa kwao ni kawaida
,Kama kufa ni kawaida mnalilia nini? Op Rising Lion hiyo inaishi ktk anga la Iran, na wanachagua target as they wish, mpaka kieleweke, leo Ayatollah ameshaikimbia nchi, Israel wamemwambia yeye ni moja ya legitimate target kokote atakakoenda except awe amejiwahisha akhera willingly
Nan analia zaidi ya weqe unalia ,hii ni jihad unakufa shahidi....😅😅kila na imani yakw hakuna intelijensia ya kuvizia ... Mnashambulia sasa uwanja wa ndege wa kimataifa sasa ngonjea muone.
,
Viongozi wa Iran wameanza kuihama nchi, lkn Israel watawafuta anywhere on this planet 🌏Nan analia zaidi ya weqe unalia ,hii ni jihad unakufa shahidi....😅😅kila na imani yakw hakuna intelijensia ya kuvizia ... Mnashambulia sasa uwanja wa ndege wa kimataifa sasa ngonjea muone.
,
Viongozi wa Iran wameanza kuihama nchi, lkn Israel watawafuta anywhere on this planet 🌏
Sasa hivi Isarel inaishi ktk anga ya Irani na Yemen simultaneously, na wananchi wa Iran wameanza kushangilia mapigo dhidi ya watawala, wanataaka revolutionMnaokoa huko mnapigwa na wazee wa mirungi😅😅...kufa ni njia ya ukombozi, assume kamanda mpya yuko kazini anaexecute order ....Taifa watu wengi tu ,akipigwa Netanyhulu lazima mbadilishe mpaka biblia..
View attachment 3369665
Sasa hivi Isarel inaishi ktk anga ya Irani na Yemen simultaneously, na wananchi wa Iran wameanza kushangilia mapigo dhidi ya watawala, wanataaka revolutionMnaokoa huko mnapigwa na wazee wa mirungi😅😅...kufa ni njia ya ukombozi, assume kamanda mpya yuko kazini anaexecute order ....Taifa watu wengi tu ,akipigwa Netanyhulu lazima mbadilishe mpaka biblia..
View attachment 3369665
Mnaokoa huko mnapigwa na wazee wa mirungi😅😅...kufa ni njia ya ukombozi, assume kamanda mpya yuko kazini anaexecute order ....Taifa watu wengi tu ,akipigwa Netanyhulu lazima mbadilishe mpaka biblia..
View attachment 3369665
Noma sanaSasa hivi Isarel inaishi ktk anga ya Irani na Yemen simultaneously, na wananchi wa Iran wameanza kushangilia mapigo dhidi ya watawala, wanataaka revolution
View attachment 3369672
Wewe ishi maana wapo wanaishi humo miaka na miaka ila unachokitafuta utakipataSasa hivi Isarel inaishi ktk anga ya Irani na Yemen simultaneously, na wananchi wa Iran wameanza kushangilia mapigo dhidi ya watawala, wanataaka revolution
View attachment 3369672
Sasa hivi Isarel inaishi ktk anga ya Irani na Yemen simultaneously, na wananchi wa Iran wameanza kushangilia mapigo dhidi ya watawala, wanataaka revolution
View attachment 3369672
View attachment 3369683
View attachment 3369690
Kafa shahidi kwani kuna tatizo upande wao..Ni sehemu ya imani yao ...Jihad forever
Darby (OP Rising Lion)View attachment 3369690
Kafa shahidi kwani kuna tatizo upande wao..Ni sehemu ya imani yao ...Jihad forever