Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

ayatolah unajua kwa sasa anaishi wapi?
 
Wameingia cha kike awa Israel🀣🀣🀣
 

Attachments

  • 4_5940786424386164775.mp4
    493.5 KB
EliminatedπŸ₯Ί
 

Attachments

  • Screenshot_20250615-134621.jpg
    140.7 KB · Views: 13
ayatolah unajua kwa sasa anaishi wapi?

Mashoga mpaka mmesogeza Tamasha lenu mbele ,hapo hamna jinsi mpaka jamaa yenu aingieπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mnakopa tu kama Africa ,lazima mpewe sapot na jamaa .. Iran ni kina kirefu

 
Iran hahitaji msaada wa mtu anashusha kipigo cha mbwa koko
 
sasa vikombora vingine vinaangukia jangwani mara vingine misituni ni vikombora gani
Eti eeeh, vikombora vinaangukia misituni?


View: https://x.com/iran_Military_0/status/1934088809395650832
kama wana makombora haswa kwa nini wasipige ndege za israel ambazo kwa sasa si zinazunguka anga lote la iran?
Kama unazunguka kwenye anga langu lakini hakuna cha maana unafanya kwanini nikuzuie!?
Unazunguka kwenye anga langu lakini uwezo wangu wa kukushambulia upo palepale, si bora nikuache tu unendelee kumaliza mafuta?
Au wewe unaona hili suala limekaaje Fran-puru?
 
Marekani yuko wapi kumsaidia shoga yake Israel?

Maana michuma chuma ya Iron Dome na THAAD aliyompa haimsaidii Myahudi kwa lolote

Vinu vya Mwajemi vinashuka tu kufanya maangamizi kila kona ya Israel
​
Unataka kuniambia mpaka sasa myahudi kapoteza makanda na top scientist wangapi?
 
Mtu kakatwa mikono na miguu kabaki kiwiliwili tu atapigana vipi?
 
Nyie ingieni mpaka ndani ila mtaishi kweny mashimo kama panya, usicheze na shia mbwa nyie ...Taifa la Mungu mpaka Mungu wao anaogopa shia.
Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…