Nitaachaje Kumpenda Rais mwenye Maamuzi Mema ya Kiutendaji kwa Wananchi wake kama huyu wa Nigeria?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Rais wa Nigeria Bola Tinubu kupitia Waziri wake wa Maendeleo na Madini ameamuru kuanzia Jana tarehe 20 Desemba, 2023 hadi tarehe 4 January, 2024 Treni zote za nchini Nigeria kubeba bure Wananchi wanaoenda Kutembelea Ndugu zao Kipindi hiki cha Sikukuu za mwisho wa mwaka ( Christmas na Mwaka Mpya ) huku akitaka Nauli zote za Mabasi ya Mikoani kushushwa kwa 50%.

Chanzo: U-FM ( Uhai FM ) Habari leo Saa 10 Kamili za Jioni.

Siyo Marais wengine duniani ( wa Tanzania hayumo kwakuwa anafanya vyema hadi Jarida la FORBES limemsifia tena ) wao Kipindi hiki cha Sikukuu za mwisho wa mwaka si tu wameamua Kuwatesa Wananchi bali wameamua Kuwakomoa kwa kuwapandishia Nauli, Bei za Mafuta, Gharama za Vyakula kuwa Juu huku wakikatiwa Umeme Kiholela na Wananchi wao wenye Akili kama za Kuku wa Msondo wakiridhika tu huku Wakinung'unika Kimoyomoyo, Kimihemko na Kiuwoga Vijiweni.
 
Hongera yake huyu Rais.
Lakini hilo ni suluhisho la muda mfupi tu(a temporary pain-killer). We need a permanent pain-killer.
 
Rais wa Nigeria Bola Tinubu kupitia Waziri wake wa Maendeleo na Madini ameamuru kuanzia Jana tarehe 20 Desemba, 2023 hadi tarehe 4 January, 2024 Treni zote za nchini Nigeria kubeba bure Wananchi wanaoenda Kutembelea Ndugu zao Kipindi hiki cha Sikukuu za mwisho wa mwaka ( Christmas na Mwaka Mpya ) huku akitaka Nauli zote za Mabasi ya Mikoani kushushwa kwa 50%.

Chanzo: U-FM ( Uhai FM ) Habari leo Saa 10 Kamili za Jioni.

Siyo Marais wengine duniani ( wa Tanzania hayumo kwakuwa anafanya vyema hadi Jarida la FORBES limemsifia tena ) wao Kipindi hiki cha Sikukuu za mwisho wa mwaka si tu wameamua Kuwatesa Wananchi bali wameamua Kuwakomoa kwa kuwapandishia Nauli, Bei za Mafuta, Gharama za Vyakula kuwa Juu huku wakikatiwa Umeme Kiholela na Wananchi wao wenye Akili kama za Kuku wa Msondo wakiridhika tu huku Wakinung'unika Kimoyomoyo, Kimihemko na Kiuwoga Vijiweni.
Upuuzi wa kutafuta kiki baada ya Kushindwa vibaya huko kwake.

Mfumuko wa bei huko Nigeria ni balaa bila kumsahau njaa na mzigo wa Madeni
 
Back
Top Bottom