Je, haya ni kweli kuhusu Kenge?

Je, haya ni kweli kuhusu Kenge?

Dah, mimi bibi yangu aliwahi kuniambia akikuchapa na mkia wake mguu unakatika.
Na huo ulimi wake akikukuta umelala anaupenyeza puani anafyonza ubongo wote! Hivyo basi, namuogopa kenge sana tu!
Sawa kabisa Mimi pia niliwah ckia hivyo .....yaan mpaka Leo namwogopa kenge hatar
 
Akikuchapa mpelekee mayai mabichi na kuku hai ale anenepe na wewe unenepe
 
Kwa hiyo mmeamuaje kuhusu kenge
 
ni kweli kenge akigusa anakuwa ame ku sync kwa blue tooth na tethering kwa kila analolipata nawe pia sasa ole wako uchapwe na kenge jike halafu awe anataga au anagegedwa!
 
Kwa kufupi mnyama kenge hana madhara yoyote kwa mwanadamu(harmless). Lakini kikubwa alichonacho mnyama huyu ni uwezo wake wa vitisho na mikwara .Huyu mnyama ni master of intimidation, na hata Simba anaweza kutoka nduki akikutana na Kenge.
 
Ninae hapa kenge ameuliwa,nimpeleke hotel gani kwa wachina nipatamo pesa
Kwa kufupi mnyama kenge hana madhara yoyote kwa mwanadamu(harmless). Lakini kikubwa alichonacho mnyama huyu ni uwezo wake wa vitisho na mikwara .Huyu mnyama ni master of intimidation, na hata Simba anaweza kutoka nduki akikutana na Kenge.
 
Mbona wanasema mkia wake unasumu,
 
Dah, mimi bibi yangu aliwahi kuniambia akikuchapa na mkia wake mguu unakatika.
Na huo ulimi wake akikukuta umelala anaupenyeza puani anafyonza ubongo wote! Hivyo basi, namuogopa kenge sana tu!
We utakua ndugu yangu aliepoteaga maana hata mimi bibi yangu alikua ananiambia hivo hivo sema akaongezea eti kama Kenge yuko nchi kavu mvua ikianza kunyesha anakimbilia mtoni au ziwani
 
Kwa kufupi mnyama kenge hana madhara yoyote kwa mwanadamu(harmless). Lakini kikubwa alichonacho mnyama huyu ni uwezo wake wa vitisho na mikwara .Huyu mnyama ni master of intimidation, na hata Simba anaweza kutoka nduki akikutana na Kenge.
Hahah.. Kama namuona simba anakimbia kwa aibu
 
Hizi ndo story zile kuna aina flan ya matunda yanaota kandokando ya mto so jamii nyingi huyachuma kisha kuyakausha na kutumia kama kifaa cha kusugulia mwili (dodoki )sasa waqt wa utoto tulikuwa tunaambiwa unaenda kulichanja moja ya tunda kisha nawe unajichanja mpini unanyunyizia ule utomvu.
Sasa kila lile tunda linavyokuwa nawe mgegedo unakuwa so inatakiwa uwe umeliwekea alama siku unapoona dushe limekuwa kubwa unaenda kulikata hilo tunda na mgegedo hautakuwa tena, zamani tulifungwa kamba sana.
[emoji23] vipi wewe ulifanya hivyo?
 
Back
Top Bottom