Je, haya ni kweli kuhusu Kenge?

Je, haya ni kweli kuhusu Kenge?

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,264
1429623808092.jpg
Je haya ni kweli kuhusu huyu kenge?
Akikuchapa na mkia, akikonda na wewe unakonda, akinenepa na wewe unanenepa, akifa na wewe unakufa je hizi stori ni za kweli au ndio zile zile tulizokulianazo utotoni?

Wataalamu mtusaidie
 
Dah, mimi bibi yangu aliwahi kuniambia akikuchapa na mkia wake mguu unakatika.
Na huo ulimi wake akikukuta umelala anaupenyeza puani anafyonza ubongo wote! Hivyo basi, namuogopa kenge sana tu!
Umenena mkuu. Kama ulikuwepo vile.. Hivi wewe ni wa mkoa gani vile. I guess ww wa pande za kaskazi
 
Dah, mimi bibi yangu aliwahi kuniambia akikuchapa na mkia wake mguu unakatika.
Na huo ulimi wake akikukuta umelala anaupenyeza puani anafyonza ubongo wote! Hivyo basi, namuogopa kenge sana tu!

Hii na mimi nilisikiaga asee
 
Mimi navyojua.. ukipigwa na mkia wa kenge unakuwa mjinga kama kenge, yaani kenge akiona mvua inanyesha anakimbilia majini. Unakuwa mjinga mpaka unaamini hayo maneno unayosikia kuhusu kenge
 
Umenena mkuu. Kama ulikuwepo vile.. Hivi wewe ni wa mkoa gani vile. I guess ww wa pande za kaskazi
Ni kweli aisee bibi ni wa pande hizo.Basi kila nilivyokua naenda likizo ndio akawa ananiambia hivyo!
Acha tu.
 
-Mimi nilisikia kwamba kenge wakati anachunwa ngozi inatoka harufu kali sana.
-Ndo maana akiwa anachunwa huwa anachunwa maeneo ya mbali.
 
Back
Top Bottom