Tena kule Msumbiji analiwa huyo, wanamtengeneza supu.Na ukimla je
Umenikumbusha mbali kuna jamaa zangu miaka hio walidanganywa kua ukichanja ule mti unaoitwa mnyaa au minyaa ule utomvu wake ukaupakaa kwenye mdude utakua na mdude mkubwa kama wa wakubwa, kipindi hicho tuko darasa la tatu na walivokua na hamu ya kufananishwa na wakubwa wakauchanja na kupakaa ule utomvu kwenye vichwa vya midude yao! Ahahahahahahaaa chamoto walikiona, mambo ya enzi zile tulikua tunadanganywa kweli.Hizi ndo story zile kuna aina flan ya matunda yanaota kandokando ya mto so jamii nyingi huyachuma kisha kuyakausha na kutumia kama kifaa cha kusugulia mwili (dodoki )sasa waqt wa utoto tulikuwa tunaambiwa unaenda kulichanja moja ya tunda kisha nawe unajichanja mpini unanyunyizia ule utomvu.
Sasa kila lile tunda linavyokuwa nawe mgegedo unakuwa so inatakiwa uwe umeliwekea alama siku unapoona dushe limekuwa kubwa unaenda kulikata hilo tunda na mgegedo hautakuwa tena, zamani tulifungwa kamba sana.
Kenge sio mjinga ila nyie ndo wajinga kwa sababu mmeshindwa kumuelewa.Mimi navyojua.. ukipigwa na mkia wa kenge unakuwa mjinga kama kenge, yaani kenge akiona mvua inanyesha anakimbilia majini. Unakuwa mjinga mpaka unaamini hayo maneno unayosikia kuhusu kenge
hiyo yakukimbilia kwenye Maji ni kweli utotoni tume yachezea sana kibko yake mbwa. Liki komaa mbwa anaweza kuvunjwa mguuWe utakua ndugu yangu aliepoteaga maana hata mimi bibi yangu alikua ananiambia hivo hivo sema akaongezea eti kama Kenge yuko nchi kavu mvua ikianza kunyesha anakimbilia mtoni au ziwani
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]naye anakukula
Nyama yake haiachi kutetemeka hata umpike ajeTena kule Msumbiji analiwa huyo, wanamtengeneza supu.
Na ukimla je
Hahaha atakuwa kawa kitoweo zamaniNa wewe unaliwa [emoji16][emoji16]
Na ww unaliwa na kenge wenzakeNa ukimla je