The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
- Thread starter
- #21
nan ilihakikisha?
Ndio maana ya tumeuliza kuwa ni kweli au ni zile za Mwanaume ukipigwa na fagio hutaoa
Mwanamke ukikalia kinu hutazaa
nan ilihakikisha?
Akipigwa bao? Na wewe unakuaje?
Heh heh heee ,na ujinga ndio sifa yetu kubwa Watanzania,si ajabu mafisadi tunawasifia na kutaka wawe maraisi wetu,wengine wanatuandikia katiba na kutuwekea vipengere vyao ,lakini bado tumetopea kwenye ujinga wa kama huyu anayesema kenge akikonda naye aliyepigwa na mkia wake hukonda hapa unategemea nini kwa watu wa aina hii,wengine tunajua wamekwiba mabilioni kwa njia za kifisadi ,tunajua ni malaghai lakini wapi tunatoa mapovu ili waingie Magogoni.ujinga nao ni kipaji
Dah, mimi bibi yangu aliwahi kuniambia akikuchapa na mkia wake mguu unakatika.
Na huo ulimi wake akikukuta umelala anaupenyeza puani anafyonza ubongo wote! Hivyo basi, namuogopa kenge sana tu!
Wapi ulisikia kafanya hivyo. hizo ni hadithi za kufanya watoto walembo kama wewe msicheze maeneo ya msituni walipo kengeDah, mimi bibi yangu aliwahi kuniambia akikuchapa na mkia wake mguu unakatika.
Na huo ulimi wake akikukuta umelala anaupenyeza puani anafyonza ubongo wote! Hivyo basi, namuogopa kenge sana tu!
Ha ha ha ha ha imebidi nicheke mwenyewe niliwahi daganywa hivi hivi ka wewe eti akikuchapa unakatika au akufyozwa ubongo nilikua cjawahi mwona nikajiuliza ana msumeno siku nilipoenda sehemu ya zoo nakuuliza nikaambiwa siyo zamani tulikua tunadaganywa Sana.
Wapi ulisikia kafanya hivyo. hizo ni hadithi za kufanya watoto walembo kama wewe msicheze maeneo ya msituni walipo kenge
Huyo kiumbe nimtamu jaman ispokuwa upatikanaji wake kwa mjini ni tabu kidogo,.
Acha tu bibi yangu kanitisha sana.Na kuna vitisho kuhusu nyoka pia ni hatari!
Hahahaaa,acha tu.Sasa kuna kipindi tulikua tunakaa kimara uwani kukawa na container basi chini yake kukawa na kenge kibao!
Nilikua siachi mlango wazi nikiogopa kenge asiingie uvunguni akaufyonza ubongo wangu usiku!