Je, haya ni kweli kuhusu Kenge?

Je, haya ni kweli kuhusu Kenge?

Kuhusu nyoka ni kweli, Chezea mbali. ila asili yao ni wapole WANALAZIMIKA KUJIAMI. nYOKA ANA HISIA KALI, UKIMUONA utashtuka na yeye atahisi unataka kumzuru, ndio maana utakuta watoto wachanga wanaweza wasing'atwe na nyoka unapowaacha nje karibu akitokea nyoka mana wao huwa hawana body reaction wanapoona nyoka. Achana na Chatu yeye zake ni kumeza atakameza katoto akikakuta.

Sasa na wewe umezidi kuniogopesha!Khaaaaa. ..
Haya bwana.
 
Usiogope ila usikubali WAKAKUCHORA MATATOO mfano ya nyoka au hata kenge katika mwili wako mana watakufuata pale utakapovua ngua hususani usiku ukiwa umelala. Bibi hajakuambiaga hilo?
Kama bado tattoo za aina zozote sio nzuri, Chunguza tabia ya alichora tatoo kabla na baada.
Wanaume watakuambia ni nzuri zinavutia mambo, LAKINI ZINAVUTA VIUMBE KATIKA ULIMWENGU WA GIZA AMBAVYO vyaweza kukudhuru
 
Hii ina ukweli hasa mitatoo ya Manyoka chatu kenge wengi wakijichora wanashindikanaga kitabia mana maroho ya hao viumbe huwafata.
 
Na ukimgonga?

Nilimkanyaga kwa gari nusura nipinduke nikasepa kumbe huko nyuma akakutwa na mjuaji akamfunga nyuma ya gari akanipita kama hanijui,kuuliza nikaambiwa nimeacha deal. Kumbe Kariakoo kuna hoteli zake nasikia nyama ya kenge ni bei mbaya!dunia hii hela haiko mbali ni wewe tu!
 
Usiogope ila usikubali WAKAKUCHORA MATATOO mfano ya nyoka au hata kenge katika mwili wako mana watakufuata pale utakapovua ngua hususani usiku ukiwa umelala. Bibi hajakuambiaga hilo?
Kama bado tattoo za aina zozote sio nzuri, Chunguza tabia ya alichora tatoo kabla na baada.
Wanaume watakuambia ni nzuri zinavutia mambo, LAKINI ZINAVUTA VIUMBE KATIKA ULIMWENGU WA GIZA AMBAVYO vyaweza kukudhuru

Mimi sijawahi na wala sitokaa nifanye hivyo.Ni ulimbukeni kujichora mitattoo.
 
Kumbe ni kitoweo kwako? Nimewahi kusikia hata nyama ya mamba ni tamu sana.Ila sidhani kama nitaweza kuila aisee. ...
Kama uko serious mbona kimara wako tele tu? Wenzio tulikua tunawaua na kuwatupa!

ana ladha inayokaribiana na samaki,.

Nimtamu Wa kukaangwa,.sijajaribu pishi lingine...
Ananyama nyingi zaidi mkiani.
 
Ni uongo uliopitiliza. Nakumbuka niliambiwaga eti radi ni mnyama mwenye miguu sita na huwa anapigana na kondoo. Mara jua na
Baada ya kuingia darasani na kusoma articles ndipo niligundua kuwa ulikuwa ni uongo!!
 
Mnaleta stori za kusema

Mvua ikinyesha huku jua linawaka basi eti Simba anazaa
 
Dah, mimi bibi yangu aliwahi kuniambia akikuchapa na mkia wake mguu unakatika.
Na huo ulimi wake akikukuta umelala anaupenyeza puani anafyonza ubongo wote! Hivyo basi, namuogopa kenge sana tu!

Umeshindwa kumjib swali lake
 
Kumbe ni kitoweo kwako? Nimewahi kusikia hata nyama ya mamba ni tamu sana.Ila sidhani kama nitaweza kuila aisee. ...
Kama uko serious mbona kimara wako tele tu? Wenzio tulikua tunawaua na kuwatupa!

nyama ya kenge na mamba zinaliwa sana na ni gharama sana kilo si chini ya laki moja. Wanafugwa sana pale Mamba launch Bagamoyo, njia ya kuelekea kijiji cha kaole.
 
Nilimkanyaga kwa gari nusura nipinduke nikasepa kumbe huko nyuma akakutwa na mjuaji akamfunga nyuma ya gari akanipita kama hanijui,kuuliza nikaambiwa nimeacha deal. Kumbe Kariakoo kuna hoteli zake nasikia nyama ya kenge ni bei mbaya!dunia hii hela haiko mbali ni wewe tu!

Na ukimtia?
 
Ni uongo uliopitiliza. Nakumbuka niliambiwaga eti radi ni mnyama mwenye miguu sita na huwa anapigana na kondoo. Mara jua na
Baada ya kuingia darasani na kusoma articles ndipo niligundua kuwa ulikuwa ni uongo!!

Ni uongo kwa sehemu flan ila ni ukweli kuwa kondoo ana uwezo wa kuzuia radi kwani kuna electrons kichwani kwake zinazoreact pale radi inapopiga.
 
Dah! wewe noma hata hivyo maneno hayo huaminishwa watoto wajinga,wazururaji na wazembe ili kuwalinda.Pole sana
 
nyama ya kenge na mamba zinaliwa sana na ni gharama sana kilo si chini ya laki moja. Wanafugwa sana pale Mamba launch Bagamoyo, njia ya kuelekea kijiji cha kaole.

Nimewahi kusikia hivyo hivyo mkuu.
 
Back
Top Bottom