Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,300
- 114,602
😂 watan zanguHapo mwisho ngoja wapaone
😂 watan zanguHapo mwisho ngoja wapaone
Usisahau.......hivi ina maana wapo watu huwa wanatumia kweli!!???.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 2k?? Ina maana hata BF wake hana hiyo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.AI technology. Hao ni fake. Ni wanaume. Anakuwa na profile fake la picha nzuri ya mrembo. Akikusanya 2000 kwa watu kumi ni 20k. Katika watu 300 hawezi kukosa wajinga. Wengine wanakuwa wasichana kweli ila wapo under utumwa kuna mtu kazi yake kukusanya hela, wengine ni wao.
Kwani wanajali hilo? Hiyo ni biashara yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 2k?? Ina maana hata BF wake hana hiyo??
Kwa kweli ni biasharaa, ila mie nilifanya zamani sana utapeli wa mitandaoni.Kwani wanajali hilo? Hiyo ni biashara yao
🥺 ngoja tukureport wakukamateKwa kweli ni biasharaa, ila mie nilifanya zamani sana utapeli wa mitandaoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimestaafu sasa, kuna mwana nilimpiga jumla 865k.
Toka 2017 - 2019, J popote ulipo nisamehee.
F, P
Woiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wataweza wapiii???[emoji3064] ngoja tukureport wakukamate
Labda nipigwe live ila sio mtandaoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wataweza wapiii???
Mie mitandao mingi wana nimewapigaa mnoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajanja sawa, ila wengi wao wanapigwa mnooo.Labda nipigwe live ila sio mtandaoni
Wasukuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajanja sawa, ila wengi wao wanapigwa mnooo.