Je hawa wadada wa Facebook wanajiuza?

Je hawa wadada wa Facebook wanajiuza?

mzunguafrika

New Member
Joined
Mar 12, 2022
Posts
1
Reaction score
7
Unakuta mdada anapost reels au status za fesibuku kavideo akikata mauno afu post inafanya anaandika kuwa ana shida na elfu 10 mwenye nayo amtumie.

Hawa wanauza? Maana biashara matangazo
IMG_6751.jpg
 
Unakuta mdada anapost reels au status za fesibuku kavideo akikata mauno afu post inafanya anaandika kuwa ana shida na elfu 10 mwenye nayo amtumie. Hawa wanauza? Maana biashara matangazo
View attachment 2582541
Sasa hayo maelezo yanathibitishaje kuwa aliyeyaandika ni Ke?

Ebu tuwapumzishe Mama zetu japo si Malaika.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hizo hazihusiani na kuuza K. Huyo anaweza kuwa Ke au Me. Ni namna ya kupata chochote tu. Na haihusiani na utapeli, maana ukimtumia ni kwa kupenda kwako tu.
 
AI technology. Hao ni fake. Ni wanaume. Anakuwa na profile fake la picha nzuri ya mrembo. Akikusanya 2000 kwa watu kumi ni 20k. Katika watu 300 hawezi kukosa wajinga. Wengine wanakuwa wasichana kweli ila wapo under utumwa kuna mtu kazi yake kukusanya hela, wengine ni wao.
 
Back
Top Bottom