Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,464
- 7,080
Mwalimu kashasha hadi huku upo 😃Hii sura naijua ya dada mmoja hivi wa Manyara nimepoteana nae kama mwaka hivi. Hakuwa anasoma itakuwa picha yake imetumika na mtu mwingine wa hiyo fake account
Na huyo mwanamke profile unamjua 😃
Tena umegumiana nae manyara😃
Mimi nikajua
upo st Petersburg kumbe upo manyara😃
We kibokoo😃