Je hawa ni wakweli au wanataka kuibia watu?

Je hawa ni wakweli au wanataka kuibia watu?

A3M

Member
Joined
Jul 23, 2019
Posts
84
Reaction score
178
Habari wadau Great thinkers wa humu JF
Natamani mko poa na ambae hayuko vizuri Mungu atamsaidia atamrudisha katika hali yake ya kawaida.

Wadau nimekuwa nikifuatilia sana baadhi ya Madalali wanaojitangaza katika Social networks hasa Instagram na Facebook ambao wananadisha nyumba zinazouzwa Kama vile "Dalali mwanamke" na "Haki_Kazi_Kampani" kwa kweli nimekuwa natafakari Sana juu ya Bei naona ni bei rahisi sana au ni janjajanja ya mjini wanataka kupiga watu?

Natamani sana kununua maana mimi nipo Nje ya nchi ila nahofia kutapeliwa,Na kama wanatapeli je wanatapeli kwa njia gani?

Naomba msaada wenu wa ushauri na naomba mtembelee hizo Account mbili za Instagram mujionee wenyewe ambazo ni "Haki_Kazi_Kampani" na "Dalali Mwanamke"

Natanguliza shukrani wadau kwa atakaenipa ushirikiano mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutapeliwa inaonyesha kiwango chako cha ufahamu na akili! Kama huko vizuri upstairs utaanzaje kutapeliwa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Mimi wakati mwingine nawapa bigup matapeli maana mtu na akili zake hataki biashara katika njia halali na halisi anataka shortcut na kitonga! Upigwe/utapeliwe kwanza ili akili zikukae kichwani. Mimi niliwahi kuuziwa sabuni nikalengeshwa na smartphone kali ya Samsung J7 kwa be ya 150,000 wakati kipindi hicho inauzwa dukani 700,000/. Nikakutana na wajanja nikapigwa! Tangia hapo nikitaka kitu bora lazima nifuate utaratibu wa kwenda dukani na kubargain kiuhalisia
 
Kama uko nje ya nchi usithubutu. Hakikisha uko bongo au unamtumia mtu unaemuamini.

Madalali waliwahi kunitapeli nyumba, nikawapa hela kumbe niliemlipa sie mwenye nyumba. Niliwatoa kupatana. Ila nilichowafanya hata ile hewa walioiba sikuitaka tena.

Kua makini.
 
  • Thanks
Reactions: A3M
Mzee kwani Unataka Ununue nyumba online?
Si Mkishafika bei unakuja kuangalia ukijiridhsha ndio hatua zinaanza?

Wasi wasi ndio akiliii...
Kama hilo limekujia....
Basi tumia hilo hilo kua makini zaidi....

Wewe ukija futuhi...hakikisha hata km mnaenda kuongea tuu kwanza.

Tafuta Mwanasheria wako...
Msimamizi....
Kiongozi wa mtaa husika
Na wengne wote wanaohitajika kulingana na sheria au kiusalama zaidi...
Jitahid process zote zifuate sheria na zifanyike kiwazi wazi .....
Siku ya kuuziana nenden hata Polisi..

Wana trick nying sana hawa jamaa.....
Waweza uwashtukie Km hivi useme utakua makini....
Mwisho wa siku unaliwa kichwa.....

Kila la kheri....

Ila ukweli ni kwamba bei chee zilizopitiliza...
Nyingi mwisho wake ni Kutapeliwa.....

Kama unataka Umtumie..
Ndugu/rafiki afanye hio kazi.....
Hakikisha anafuata mambo hayo na mengne mengi....
Japo kaa ukijua Umakini wake na wako utakua tofauti....kwaio risk inaongezeka...

BTW km kweli unataka umtumie Ndugu/Rafiki akufanyie hio kazi, hii nayo ni inshu nyingne...
Tena pengne Kubwa zaidi ya tunayoiongelea hapa..
 
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa mwanga.Mungu akubariki sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanauza nyumba mbalimbali Daresalaam na ni nzuri sana zenye kuonekana zinathamani kubwa kwa milioni 35-80

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo kuna wahuni wa "Jenga Uza" ambao wamesha zungumziwa sana humu. Kwamba wananunua viwanja kisha wanajenga nyumba kwa cheap materials na ubora wa chini kisha wanauza. Baada ya miezi ukianza kukaa utaona matatizo.

Wengine kweli wanauza kwahiyo wewe ulie nje ya Tanzania muagize ndugu yako asie na tamaa kwenda kucheki.
 
Jenga Uza hizo nyumba, nje zimepigwa rangi nzuri , lakini ujengaji wake wa hovyo, sement mfuko mmoja matofali elfu, matofali mchanga mtupu, finishing wanatumia cheap, fake material, nyumba mbovu sana usibabaike na rangi, au bati la msouth. utakuja juta,
 
Mkuu basi tupiako kapicha kanyumba chako kalichojengwa na material original
 
Back
Top Bottom