Je hata humu watu waandamane?

Je hata humu watu waandamane?

hivi hawa viongozi wa kislam hawanaga their official media za kuwaelezea waislam wenzao habari zinazowahusu wao na mambo yao mpaka walete humu jf ambapo at the end of the day wanapata maudhi kejeli dhihaka na dharau kwa wao na imani yao hivi mlishamsikia padre mchungaji au kiongoz yeyote wa kikristo akija kujibizana/kubwabwaja hapa jf kwa maslahi ya imani yake sio kwamba hawataki lakini kwa maslahi na heshima ya kanisa na wao wenyewe sio mahali pazuri pakufanya hivyo na ndio mana wanaheshimika na wengi nafkiri mngewaiga eventhough mnamengi sana ya kuwaiga lakini tuanzie na this type of cheap amoung the huge wise of them!
Wewe ndio unazidi kuionyesha kupigilia msumari JF ni ya akina nani. Kwani si inaitwa the place where we dare to speak openly. Basi tutawashauri Masheikh wetu akina Mohammed Said watafute jukwaa pengine hapa ni kwa wenyewe
 
Usemayo ni kweli kabisa lakini mimi binafsi naamini kuwa tuna wajibu
wa kuwaelimisha hawa ndugu zetu.

Katika kufanya hivyo huenda tukaiepusha nchi yetu na hili janga ambalo
si muda mrefu litakumba jamii yetu.

Wewe Mohammed Said huna lolote la maana unaloweza kuisaidia jamii yako. Unachotaka ni kuonekana wa maana mbele ya watu wasiofahamu propaganda na kupata sifa za kijinga zisizo na manufaa.

Umekuwa mwingi wa kuandika makala za Nyerere alifanya hili baya kwa Waislam, Serikali inawanyima hiki Waislam....hauishi kutupa lawama kwa huyu na yule ili mradi tu kushindwa kwenu iwe lawama ya mtu mwingine.

Unapenda mada za kukupa sifa na umaarufu mbele za watu japo huzingatii kuwa kusifiwa na watu wasio na ufahamu wa kutosha juu ya jambo unaloongea hakukupi credits mbele ya wasomi na wenye ufahamu. Ni sawa na watu wa kijijini wasiojua Kiingereza wakusifie kuwa unaongea Kiingereza safi ilhal wao hawakijui. Sasa hujiulizi wanakusifia kwa kukupima kwa kipimo gani, unachojali wewe ni sifa.

Makala zako zinawafanya Waislam wanaocheza bao msikitini saa zote waamini kuwa watoto wao wanafeli shuleni sababu ya Kanisa Katoliki. Unahubiri yale wanayopenda kusikia, ukisahau kuwaambia kuwa kitu pekee ambacho serikali inaweza kumfanyia mwanafunzi ni kumpa darasa na mwalimu lkn si kumbadilishia ubongo na kumpa mpya wa Kikatoliki.

Historia ya nchi yetu unaijua (japo unapenda kuipindisha kwa manufaa yako) na historia ya dini hizi mbili hapa Tanzania unaijua. Kuna wakati upotoshaji wenu unalenga kuonesha ubaya wa Nyerere katika sehemu ambazo alipaswa kushukuriwa na nyie msio na SHUKRANI.

Mmoja wenu siku fulani hapa hapa JF aliwahi kutuandikia utumbo kuwa Wakristo walipendelewa na Nyerere kielimu kwani hata Scholarship za kwenda kusoma 'kwenye nchi za maana' (USA, UK,German n.k) walipewa wao (Wakristo) na Waislam waliishia kupata zile za kwenda kwenye nchi zisizo na tija kama China, Uturuki n.k.

Hapo utaona namna fulani ya UTAAHIRA wa mawazo tangu kwenye mwanzo wa hoja yenyewe. Kumbe hata mnafahamu kuwa kuna NCHI ZA MAANA na zilizopiga hatua. Kinachonishangaza ni kutojiuliza kwa nini zimekuwa za maana. Kwa hiyo Waislam wanatamani kwenda German kusoma, ikiwa na maana ya kujifunza toka kwa Wajerumani ambao kufanikiwa kwao kunatokana na yale wanayoyaamini.

Mohammed Said unayetafuta sifa miongoni mwa Waislam wasio na uelewa, unasahau kuwaambia waislam wasioelewa kuwa, mara baada ya ukoloni, hizo Scholarship zilikuwa zinatolewa na wakoloni hao hao ambao tulikuwa nao hapa wakijenga Makanisa na Shule ambazo waislamu hawakupenda kuingia. Agents wale wale wa Ukoloni (Missionaries) ndio waliokuwa na uelewa na Africa na ndio waliokuwa wakitoa mapendekezo kwa serikali zao kuhusu misaada ya maendeleo huko walikotoka.

Serikali ya Ujerumani inatoa Scholarship kwa vijana 20 kusomea jambo fulani huko Ujerumani, na sharti muambata ni kwamba Barua zao za utambulisho zipitie kwa PAROKO wa Parokia anayotoka na kugongwa muhuri wa Askofu wa jimbo husika, Nyerere alitakiwa azikatae kwa kuwa Waislam hawawezi kwenda?

Zinatoka Scholarship toka serikali ya China, hizi hazina masharti, Nyerere kwa busara kwamba kwa kutumia busara, anaamua kupeleka Waislam wengi huko kwa kuwa anajua Wakristo tayari wana fursa kwenye nchi zingine, napo Mohammed Said na wenzako mnasema mnapelekwa kwenye nchi zisizo na tija. Sasa mfanyiwe nini?

Mohammed Said (mnafiki), unasahau kuwaambia Waislam wasio na uelewa kuwa, hata hizo zisizo na masharti zilikuwa ngumu kwa Waislam kupewa kwa sababu ili uende lazima uwe na vigezo fulani vya elimu ambavyo tayari wengi mlikuwa hamna kwa kuwa hamkuwa tayari kusoma kwenye shule za Mission. Huu ni UPUUZI kuwafundisha watu.

Mohammed Said na wenzake, hawawaelezi waislam wao kuwa kukua kwa jamii ya Kikristo kunatokana na character ya Mkoloni aliyeleta dini yao kuwajenga kwa namna hiyo unayowaona leo wako na kwamba aliyeleta Uislam hata yeye mwenyewe huko alikotoka hamna msisitizo wa elimu kama ilivyo kwa walioleta Ukristo.

Amini nawaambia wakuu wa JF, kuna watoto wa kiislam ambao hawahudhurii madarasani tangu shule za msingi, baba zao wanayajua hayo na still wakifeli wapo mstari wa mbele kulaumu kuwa wamefelishwa. Hii inatokana na mahubiri ya Mohammed Said na wenzake. Wanawafanya watoto waamini kuwa, watoto wa Wakatoliki hawasomi kama wao lkn mitihani yao inasahihishwa beautifully kwa hiyo wanafaulu.

Mifano ya ujinga wa MAHUBIRI ya Mohammed Said unaweza kuonekana juzi tu hapa kwenye shule ya Sekondari ya Ndanda. Wanafunzi wa Kiislam wanagoma kusoma kwa kisingizio cha kunyanyaswa na uongozi wa shule. Hoja yao ya msingi ilikuwa Shuleni kuna Kanisa lkn wao wanakatazwa kujenga msikiti shuleni.

Kwa akili ya kawaida isiyotaka uchunguzi unaweza kuona pana hoja, lkn ukiirejea historia ya shule utaona ni upuuzi. Hiyo shule ilijengwa na Kanisa hilo hilo wanalolipinga. Cha pili utagundua tu kutumiwa kwa wanafunzi hao na watu fulani kutokana na maelezo yao na namna ya wanafunzi wenyewe (ni wale watoto wasio na mahudhurio mazuri darasani na hata hiyo dini yao yenyewe sio wahudhuriaji)

Mohammed Said na wenzake, wako bize kuelezea yaliyotokea Mwembechai, lkn hamna anayeelezea ni nini chanzo cha polisi kufika pale na je ilikuwa ni sahihi kwa wao kupanda majukwaani kukashifu imani za wenzao.

Mohammed Said ni aina ya Waislamu wanaoamini kuwa Waislam wana haki ya kusema wanachojisikia kuhusu Yesu lkn wasiambiwe ukosoaji wowote kuhusu Mohammad (Mtume) Kwao hao matukano kwa wengine yanaitwa hoja ila nukuu yoyote dhidi yao inaitwa KUFURU dhidi ya mtume wao.

Kuna ujinga mwingi katika mahubiri ya Mohammed Said ambayo yanachosha kwa kweli. Lakini ni nini kinachompa Mohammed Said msukumo wa kuongea pumba kwa nguvu?

Ni ule ukweli kwamba, Uislam hauna uongozi wenye kutambulika. Hii inatoa fursa ya mtu yeyote kuongea au kufanya jambo la kijinga kabisa na kusema 'Haya ni matakwa ya Waislam'. Hakuna msemaji wa dini hii wala hakuna baraza la pamoja. Leo Ponda anasimama na kusema hili na hili ni maoni ya Waislam, kesho anasimama mwingine na kusema hayo ni maoni ya Mawahabi ambao ni wakorofi, keshokutwa anasimama Ponda na kusema Mufti ni Kaffir, ili mradi Uislam umekuwa nyumba ya Kambale ambapo familia nzima ina ndevu hajulikani nani baba nani binti.

Mohammed Said na wenzake wangepaswa kujiuliza ni kwa nini Muarabu hakuacha shule (za aina hii tunayogombea) na kwa nini nchi za kiarabu hazitoi misaada ya kielimu na ufadhili mwingine wa maana zaidi ya kuishia kutoa Mabillioni ya fedha za FATWA kwa kushabikia mauaji ya mtu aliyekosoa Quran.

Mohammed Shosi anasema Serikali haipendi kukosolewa, lkn anasahau kuwa hata imani yake inayomwongoza hapa haipendi kukosolewa na ndio maana leo ulimwengu wa Kiislam umeweka dau la $3.3m kumuua Sulman Rushdie.

Mna mambo mengi ya kuwaeleza Waislam wa hali ya chini badala ya kuawafanya waamini kisicho cha kweli
1. Uke wenza ni kikwazo cha malezi ya familia
2. Uzazi wa mapango ni msingi wa malezi na utunzaji bora wa familia
3. Elimu kwa mtoto haiishii darasani bali hadi nyumbani. Mzazi afuatilie maendeleo ya mtoto wake shuleni
4. Dhiki si mpango wa Mungu kwa mwanadamu kwa hiyo familia ijibidiishe (Waislam wengi wanaamini kuwa ukiwa fukara ndio unaenda peponi)
5. Imani za kishirikina zinarudisha nyuma maendeleo n.k

Kwa waislamu mnaohisi mnaonewa, jifunzeni kwa waislam wenzenu walioenda shule kwa jinsi wanavyokazania elimu kwa watoto wao na sio kujiunga na kambi za manung'uniko za Mohammed Said anayefadhiliwa na watu wa nje kusema yasiyo na maana kwenu.
 
Nimeshindwa kukusoma.

Siwezi kukujibu.
Hamaki imetawala mawazo yako.

Tulizana na jenga hoja kistaarabu tutajadili Insha Allah.
 
We unadhani reaction ya askari ni solution? Angalia dunian kote majibu utapata. Kama ikija kutolewa kauli moja tu kwa viongozi wa dini basi hata askari watoke nchi jiran hapatashikika na siombei tufike huko! La msingi kila mtu apewe haki yake na watu waheshimiane basi.

Hujajibu hoja yake zaidi ya kutoa vitisho vya mtu mjinga. Hakuna mwenye roho mbili, fahamu hilo na tuheshimiane. Suala la waislam kudhani kuwa vurugu wanaijua wao ni ujinga. Usiongozwe na ujinga kiasi cha kufikiri kuwa Wakristo hawana mikono ya kupigana. Busara isitafsiriwe kuwa woga.

Kuna siku polisi walitoka tu vituoni na kuingia msikitini kupiga watu? Toka huko walikotoka kambini kwao mpk wafike Mbagala, wamepita misikiti mingapi njiani mpaka wafike Mbagala na kupiga bomu huko?
 
Nimeshindwa kukusoma.

Siwezi kukujibu.
Hamaki imetawala mawazo yako.

Jituliza na jenga hoja kistaarabu tutajadili Insha Allah.

Hoja inajengwaje kistaarabu? Kwa kuanza na Takbir au?

Sikutegemea ujibu anyway kwa kuwa umekosolewa. Ila ushauri wangu ni kwamba, tumia muda wako vizuri kuifundisha jamii ya Waislam isiyo na elimu na sio kuipotosha.

Maneno meengi ya kumsingizia fulani kuwa anakukwamisha si tija wala hoja mfumbuzi ya taabu zako. Kushindwa kwenu kunaanzia kwenye ngazi ya familia, acha lawama kwa watu wengine
 
Kwa sababu hujui maana ya neno KAFIRI... tafuta kamusi kwanza.. tatizo mnakurupuka mno!! Nini maana ya uchochezi.. Akisema Mohammed Said ni uchochezi lakini maneno kinyume na hayo yakisemwa na Wachungaji na makasisi si uchochezi kwa upande wa Mohammed Said? Hivi kumbe waarabu mpaka leo wanatumia majambia!!!?
Funga domo lako tafadhari, mwache mzee muovu Mohamed Saidi ajibu yeye mwenyewe! muache atetee uovu wake yeye mwenyewe. Kwa taarifa yako mimi ni "devoted atheist" kwa hiyo uislam wako au ukristo wao haunihusu, kinichonihusu ni amani ya nchi yangu, amani kwa watanzania wote bila kubagua. Amani ya Tanzania ina hatarishwa na mijitu selfish kama Mohamed Saidi na nyie watetezi wake, shame on you all! mlaaniwe mashetani wakubwa nyie.
 
Nimeshindwa kukusoma.

Siwezi kukujibu.
Hamaki imetawala mawazo yako.

Tulizana na jenga hoja kistaarabu tutajadili Insha Allah.
Sio kwamba umeshindwa kumusoma mkuu La Mas Bobos, umeshindwa kujibu hoja nzito za Bobos kwa sababu wewe umezowea kupokea sifa za kijinga kutoka kwa wajinga wanaopokea mahubiri yako ya kichawi na fitna dhidi ya watu wengine. Mohamedi Saidi kubali kuwa wewe ni muovu na wala huwatakii mema jamii ya islam. Huna tofauti na shetani, na kwa kifupi wewe ni shetani mwenyewe. Huishi visingizio na fitna. Kaa tulia soma tena andiko la Bobos, jibu hoja hizo na ukome kujiita kuwa wewe nini msomi kwani huna cha usomi wowote zaidi ya uganga njaa tu, shame on you old fool!
 
Hivi inakuwia tabu kuandika bila kuchomeka maneno ya Kizungu.
Mie nakijua vyema Kizungu lakini si unaona nikiandika naandika Kiswahili kitupu?

Ahsante kwa mchango wako.

labda hakijui vizuri kiswahili! Na kama unakijua vyema kizungu si umemuelewa
 
Kauli kama hizi ipo siku mtatafuta pa kujificha kama sio kujiuwa wenyewe kwa kuhofia....

Yaani mnajidanganya kweli na ujasiri wenu wa kwenye keyboard. Ikianza civil war hapa ninyi na familia zenu wtajificha wapi? Kauli za kipuuzi kama hizi hupelekea mada kufungwa.
 
Hapa ndio tunaposhindwa kujadiliana na nyinyi kwa kuwa mna unafiki mwingi na akili zenye kukatisha tamaa. Waliochoma makanisa si waislamu, lkn waislam wanatoka misikitini na kuandamana kuwa waislamu wenzao wameonewa. Hivi kuna ujinga na makero makubwa zaidi ya haya?
Hiyo ni hatua ya juu kabisa ya ujinga.Nashangaa tu ni kwanini waandishi wa habari huwa hawawaulizi hawa jamaa haya maswali. Kama walioharibu, kuiba na kuchoma makanisa ni wahuni, kwanini waislam waandamane kudai waislam(wahuni) waachiwe?
 
Muhammad (Said and Shossi) thanks for pointing out,yaani kila sehemu tunabanwa ,fikiri the so called huru kama jamii forum nako mambo ni kama hivi!
 
Hoja inajengwaje kistaarabu? Kwa kuanza na Takbir au?

Sikutegemea ujibu anyway kwa kuwa umekosolewa. Ila ushauri wangu ni kwamba, tumia muda wako vizuri kuifundisha jamii ya Waislam isiyo na elimu na sio kuipotosha.

Maneno meengi ya kumsingizia fulani kuwa anakukwamisha si tija wala hoja mfumbuzi ya taabu zako. Kushindwa kwenu kunaanzia kwenye ngazi ya familia, acha lawama kwa watu wengine

Umeanza vibaya jibu lako.
Hebu soma ufunguzi wa kauli yako.

Namna hii haipatikani tija na mjadala unakosa umakini.
Kukosolewa ni kitu asichoweza kukiepuka yeyote yule anaeingia katika mjadala.

Mimi hilo halijapata kunitisha.
Nina uwezo wa kusimama na yeyote kwa hoja na nimefanya hivyo kwingi tu.

Isome historia ya Waislam na nini kilitokea baada ya uhuru kupatikana.
Kwa muhtasari nimeeleza katika post ambayo hapa JF imeondolewa.

Mada hii kwa namna tofauti nimeizungumza kwingi duniani na kwa hakika imeleta
changamoto kiasi nitakufahamisha kuwa nilipomaliza kuiwasilisha pale ZMO Berlin
niliombwa nikazungumze University of Humburg.

Nyinyi ndiyo mnatishika na historia hii.

Kwa wenzetu ni kitu kipya ambacho watafiti
wa historia ya Afrika wanathamini.

Insha Allah natayarisha mada "The Reversion of History and the Dangers of Fallacy."

Mungu akipenda nitaiweka hapa JF kuonyesha maradhi yanayowasibu watu wanapoletewa
mashujaa wapya katika historia iliyofutwa.

Angalia hofu na hamaki iliyoingia baada ya kubainika kuwa si Nyerere aliyeasisi TANU bali
ni rafiki yake Abdulwahid Sykes.

Hadi leo bado watu wamechanganyikiwa hawajui la kufanya.
 
Mohammed Shossi msenangu washangaa kuondolewa kwa thread.. mods wa JF wana edit hadi posts za watu ilikufurahisha watu flani.. hakuna freedom of expression wala we dare to talk openly now days inakera.. basi aki edit at list akujulishe .. kuliko kuweka mdomoni maneno ambayo hukuyasema ..

usije ukashangaa ni hii waka edit
 
Muhammad (Said and Shossi) thanks for pointing out,yaani kila sehemu tunabanwa ,fikiri the so called huru kama jamii forum nako mambo ni kama hivi!

Kita watu katika taifa lolote lile kuna historia wanayothamini.

Wachina wana The Long March chini ya Mao 1949.
Wamerikani wana American Revolution ya 1776
Kenya wana Mau Mau 1952
Wayahudi wana Holocaust ya 1938-1945
Tanganyika tulikuwa na historia ya Nyerere na harakati za kudai uhuru 1954 - 1961

Ukiondoa historia hizi katika watu hawa ule utaifa wao unakosa maana na
heshima ya kujinasibu mbele ya mataifa mengine.

Hapa tusimame kidogo.

Historia ya uhuru wa Tanganyika na Nyerere ilikuwa haijakamilika na kwa bahati mbaya sana
yeye mwenyewe Nyerere akaipenda hiyo historia pungufu iliyokuwa ikimtukuza yeye peke yake.

Sasa nilipokuja kuandika historia ya kweli ya harakati za kudai uhuru matokeo yake ni kuwa
baadhi ya watu katika jamii wameumia na baadhi ya watu wamefurahi na sasa wanajinasibu
na historia ya mashujaa wao.

Kuna shule inatoa zawadi ya Sheikh Hassan bin Amir na kila mwaka inapatikana nafasi ya kueleza
mchango wa Sheikh Hassan bin Amir katika kudai uhuru wa Tanganyika.

Sasa wanaweza kuendelea kukataa historia ya kweli na wakabaki na hiyo wanayoipenda lakini wakae wakijua
kuwa mambo si kama yalivyokuwa hapo zamani.
 
Yaani mnajidanganya kweli na ujasiri wenu wa kwenye keyboard. Ikianza civil war hapa ninyi na familia zenu wtajificha wapi? Kauli za kipuuzi kama hizi hupelekea mada kufungwa.

Naamini hatutafika katika mapambano na ndiyo maana watu wanaandika na kuonyesha matatizo
yanayoikabili nchi yetu.

Penye dhulma kinachofuatia ni maangamizi.
Penye haki amani hudumu.

Tujiulize wapi tumejikwaa ili tuking'oe kisiki.
Kisijetuvunja mguu.
 
labda hakijui vizuri kiswahili! Na kama unakijua vyema kizungu si umemuelewa

Psychoanalysts wana utafiti mzuri sana kwa watu wanaochanganya lugha katika mjadala.

Wanasema moja ni mtu kuhisi upungufu na njia ya kujazia ule upungufu wake ni kukimbilia
lugha ambayo hudhaniwa ni "superior."

Tatizo la inferiority complex.
 
Kwahio mkuu wewe kwa kuchangaya lugha hapo juu haujiamini ?

Naona hapa unachofanya ni kuhamisha magoli.., ukiulizwa swali badala ya kujibu hoja unasema anayeuliza ana jazba au hatumii lugha unayotaka wewe.., badala ya kuongelea hoja iliyopo unauliza kwanini mtu anachanganya lugha.., wengine hapa lugha is just a tool for communication.., ningedhani unajua kinyantuzu au kisukuma au kichagga labda ningechanganya cha muhimu ni ujumbe kufika hayo ya U-superior na inferior unayajua wewe na matokeo yake tumeshatoka kwenye issue sasa tunaongelea lugha na watu watumie maneno/uandishi unaokufurahisha wewe.., hivi huoni kwamba hizo energy za kusahihisha uandishi wa watu ungezitumia constructively kujibu ulichoulizwa ?

Hatuhitaji Analyst kuona kwamba hakuna unachojibu hapa na unaconcentrate kwenye minor things badala ya kuendeleza mjadala
 
Stop affirmative action broo,education is the only solution,acheni kulalamika,ukitubu na kuamini tu kuwa yesu ni mwana wa mungu,na alikufa na siku ya tatu akafufuka basi mtaondokana na huo utumwa wenu wa kidini unaokusumbueni.you cant beat us, then join us.
 
Si hivyo.
Juhudi za kujenga taasisi za elimu ndizo zilizoleta Nyerere kuivunja Jumuia ya Waislam wa Afrika ya Mashariki (EAMWS).

Yaelekea hujui historia ya Waislam na Nyerere na migongano iliyotokea kuanzia mwaka 1961 hadi 1968 ilipovunjwa jumuia hiyo na harakati zilipoanza kupambana na Nyerere chini kwa chini kuunusuru Uislam na Waislam.

Hii ndugu yangu ni historia ya kweli ingawa inatisha.

Umuhimu wa elimu Waislam tuliufahamu ndiyo maaana Waislam chini ya EAMWS waliitisha mikutano miwili 1962 na 1963 mikutano iliyozaa mradi wa kujenga shule Tanganyika yote na kujenga chuo kikuu na jiwe la msingi wa chuo kikuu aliweka Nyerere mwaka 1968.

Historia hii ni mashuhuri.
Mradi ukahujumiwa na Nyerere na Kanisa Katoliki.

Hii si siri tena.

Somo hili nimeliandikia mada tatu:

1. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003)

2. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003)

3. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004)

Hili si suala la Waislam kutaka tupendelewe.

Tunazungumza hujuma iliyojichimbia katika serikali ambayo inawahujumu vijana wa Kiislam.

Nadhani umesikia malalamiko yetu katika Baraza la Mitihani (NECTA).
Ikiwa tutaweka hadharani yanayofanyika mle ndani Waislam wataingia tena barabarani.

Huu ndiyo ukweli wa hali inayoikabili nchi yetu.

Haitatusaidia sana kuijifanya kuwa hakuna tatizo.

Matatizo ndiyo yatakuwa hayo ya askari polisi JWT mitaani kupambana na Waislam kila baada ya sala za Ijumaa.

M

PS: Hapa nataka nizungumze na wewe ndugu yangu Wilson Dioxide na wengine wa mfano wako.
Mnapenda kuchangia mada humu ukumbini lakini kila nikizisoma naona kinachojitokeza ni ufinyu wa
uwezo wa utambuzi wa mambo. Sasa sijui kama sababu ni elimu hafifu au mnafanya hivyo kwa makusudi.
Mathalan katikati ya mchango wako unaandika habari za Yesu kuwa nimwamini Yesu...
 
"religion is the opium of the poor". Dini ni bangi ya watu fukara. Dalili mtu aliyefilisika kabisa brainwise atatafuta uhalali wa kuishi kwenye dini. It is a form of consciousness.
 
Back
Top Bottom