Je hata humu watu waandamane?

Je hata humu watu waandamane?

Baba yenu nasema atakayeandamana humu nafungulia JWJF kuwapa kibano. Hivyo tusilaumiane. Atakayeandamana JF ajiandae kulia. Mimi sipigi ban bali mikong'oto. Mohd Shossi mwanangu una hoja sema sijui kama watakuelewa. Kumekuwa na bias na chuki bila sababu. I can sense islamophia. Again, tuangalie pande zote. Wanaojibu hoja nyingi kwa kutetea uislam hutumia jazba ukimuondoa Mohd Mtoi ambaye alileta hoja safi na yenye mashiko. Wengi wa wapenzi wa uislam au tuseme waislam ingawa si wote, huwa hawadurusu hoja ipasavyo. Kwa upande wa wanaoshabikia upande wa pili nao wanakuwa na chuki na saa nyingine kejeli zisizo na faida. Mi baba yenu kuondoa utata huwa nawashauri watanzania tuwe watanzania kwanza na dini zifuate.
 
Ahsante Sheikh Mohammed,

Ukweli katika madhila wanayofanyiwa Waislam unatisha sana.
Sioni mtu katika JF ambae anaweza kusimama kujibu hayo niloandika.

Benjamin Mkapa alitaka ushahidi wa dhulma kwa Waislam.
Prof. Njozi akaandika kitabu kizima "Mwembecha Killings..."

Serikali haikuweza kustahamili.
Ikakipiga marufuku kitabu.

Huu ndiyo mwendo wa mfumokristo.
Sasa wanatumia jeshi la polisi kupambana na Waislam.

Mimi naamini Insha Allah ipo siku watatuita katika meza ya mazungumzo.

Mkuu umedhurumiwa nini na unataka upewe nini ?

Unalalamika dhuluma je wapagani hindus na wenye imani nyingine za mizimu nao vipi ?

Mkuu fanya kazi hii ni land of opportunity issue zako za imani tafuta wenye imani kama wewe na mfanye kile mnachotaka (ili mradi msivunje sheria) kwa wakati wenu na hakuna atakayewasumbua.., haya mambo ya kusubiri spoon feeding au kutaka serikali ikufanyie hiki au kile utakufa kabla ya siku zako kwa stress na kuharibu vizazi vinavyokuja kwa kutangaza chuki zako na kuweka sumu ya utengano..,

Hivi kwa kutumia pesa zako, akili yako na watu wenye imani kama yako mnashindwa kufanya chochote kweli (within legal boundaries) hata kama imani yenu ni kuabudu mizimu ?, ni nani atakayewakataza ?, tafadhali ndugu imani yako isiwe kero kwa wengine..
 
Waliochoma makanisa ni waislam safi na ndio maana baadaye Sheikh Ponda alivisifia vitendo vile. Kwa hiyo unakosea sana unaposema hivyo, sisi sio watoto wadogo. Tuliona kila kitu kilichotokea .kwa hiyo badilisha kauli yako

Tukubali kutofautiana.
 
Mzee wangu nisamehe , sikuwa na maana ya kuwa nakutusi, inawezekana hujui ila nakuheshimu sana na nasoma sana makala zako, na mara nyingi nimekusikiliza hata wakati wanapokualika hapo redio iman. So naomba unisamehe sikutaka unielewe vibaya.

Hilo limepita sina kinyongo nawe.
 
Wengi wao wana kitu ambacho mimi nimekiita Ubaguzi wa Ujinga.
 
Unajadili kitu gani na nani ilhali postimekataliwa?

Japo sijaiona hiyo hoja yako ilotolewa, ila kwa kitendo cha kusema wahalifu ndo waliochoma makanisa ukiwa kwenye redio, sidhani kama hoja yako ilikuwa na mashiko. kwa nini waharifu wasivamie maduka na asasi nyingine za kiuchumi wavamie makanisa?

Pia mtu alepelekwa kituoni, tangu jumatamo atafuatwaje ijumaa na waharifu ili achinjwe?

Boko haramu nigeria wanalalamika kuwa wanaonewa wanapozuiwa kuchoma makanisa, Al Shabab wanalalamika Somalia na kudiriki kuua hata raia kwa madai kuwa wanataka nchi iongozwe kwa sharia, vikundi mbalimbali vya kiislam duniani vinafanya ghasia na kujitoa muhanga kutaka sharia za kiislam ndo ziwe na mashiko, lakini bado kuna mtu anadiriki kuhoji kwenye jukwaa la great thinkers ameonewa kwa kuleta hoja yenye mrengo huo, hivi tukiweka dini zetu na imani zetu pembeni ni nani asiyejua waislam wanaojiita wenye msimamo mkali ni janga la kidunia sasa?

Said try to be honest, hata kama utasema jihad ni free ticket to "peponi" kulingana na imani yako lakini pia naamini utu na ubinadamu vina nafasi yake. Mmewateka hadi wakina Prof. Shivji, leo wanashindwa kusimamia walivyovihubiri miaka nenda miaka rudi na kusimamia kutetea uarabu
 
Mkuu umedhurumiwa nini na unataka upewe nini ?

Unalalamika dhuluma je wapagani hindus na wenye imani nyingine za mizimu nao vipi ?

Mkuu fanya kazi hii ni land of opportunity issue zako za imani tafuta wenye imani kama wewe na mfanye kile mnachotaka (ili mradi msivunje sheria) kwa wakati wenu na hakuna atakayewasumbua.., haya mambo ya kusubiri spoon feeding au kutaka serikali ikufanyie hiki au kile utakufa kabla ya siku zako kwa stress na kuharibu vizazi vinavyokuja kwa kutangaza chuki zako na kuweka sumu ya utengano..,

Hivi kwa kutumia pesa zako, akili yako na watu wenye imani kama yako mnashindwa kufanya chochote kweli (within legal boundaries) hata kama imani yenu ni kuabudu mizimu ?, ni nani atakayewakataza ?, tafadhali ndugu imani yako isiwe kero kwa wengine..

Mada hailalamiki.

Inaeleza historia ya Waislam na mambo yaliyojiri katika nchi yetu.
Wahindu na Wapagani hawajapata kuwa tatizo Tanzania.

Chukua wakati kujielimisha kiasi unapoandika watu wapende kukusoma.
Ondokana na vitu visivyo na maana katika kujenga hoja zako.

Jifunze kufikiri kwa ubongo wako usiupe moyo nafasi.

Ukifanya hivyo mengi yatakupita.

Mada hii na nyingine nilizoandika mfano wa hizi zimehifadhiwa kwingi
na ni rejea kwa wanafunzi wa African history katika vyuo vingi.

Huwezi kufahamu lakini wajuzi wanasema sehemu ambayo inaweza kulipuka katika Afrika ni
Tanzania.

Wenzetu washaziona dalili.

Askari polisi na JWT weshaingia mitaani kupambana na Waislam.

Magari ya deraya, helikopta zinaruka kuwadhibiti Waislam...
Tumefika vipi hapa?

Kwa nini mada yangu inaogopesha kwa hiyo inatolewa JF isisomwe?

Kwa nini kitabu "Mwembecha Killings..." kinawatisha watawala na hivyo
kukipiga marufuku kisisomwe?

Jiulize anaetishwa na maandishi haya ni nani na kwa nini?

Punguza hamaki, jitulize usome na kisha isaili nafsi yako.

Bado hatujachelewa na wewe hujachelewa kuwa mtu mjuzi hata kama hukubaliani
na nisemayo.

Nafasi bado unayo ya kujifunza na nchi bado ina nafasi ya kuepuka balaa.

Waislam si wavivu.

Wamepigana na Mjerumani.
Wameongoza harakati za kudai uhuru.

Baada ya uhuru wametaka kujenga Chuo Kikuu lakini kikahujumiwa na
Nyerere na Kanisa Katoliki.

Miaka ya 1990 Waislam wametaka kujenga Chuo Kikuu cha Kiislam serikali ikahujumu chuo hicho
kikajengwa Mbale, Uganda.

Ungejadili haya ukumbi ungefaidika.

Nilitaka nikupuuze nisikujibu lakini nimeona nikujibu huenda ukawa msaada katika kuleta utengamano.

Mwisho nakunasihi.
Jiepushe na ufedhuli.

Iko siku watu watakusoma miaka mingi baada ya leo.

Naamini usingependa wasomaji watakaokusoma wakuone ulikuwa kijana mwenye kibri
na aliyejaa ufedhuli na jeuri.

Vinginevyo utajitukanisha wewe na wazazi wako kuwa hawakukupa malezi na kukufunza adabu stahiki.

M

PS:
Nimekuona unatia maneno ya Kiingereza katika uandishi wako.
Mimi nina Merit Pass (First Class) English Oral, Cambridge Examination.

Nimetihaniwa lugha ya Kiingereza nazungumza na kusikilizwa na walimu wa Kiingereza.
Wamenipasisha ngazi ya kwanza.
 
Ahsante Sheikh Mohammed,

Ukweli katika madhila wanayofanyiwa Waislam unatisha sana.
Sioni mtu katika JF ambae anaweza kusimama kujibu hayo niloandika.

Benjamin Mkapa alitaka ushahidi wa dhulma kwa Waislam.
Prof. Njozi akaandika kitabu kizima "Mwembecha Killings..."

Serikali haikuweza kustahamili.
Ikakipiga marufuku kitabu.

Huu ndiyo mwendo wa mfumokristo.
Sasa wanatumia jeshi la polisi kupambana na Waislam.

Mimi naamini Insha Allah ipo siku watatuita katika meza ya mazungumzo.

Ule uzandiki, uongo, uzushi, ufitini wa Njozi unauita ushahidi? Usijishushie heshima sheikh
 
Ule uzandiki, uongo, uzushi, ufitini wa Njozi unauita ushahidi? Usijishushie heshima sheikh

Siwezi kutokwa na heshima kwa kutoa fikra.
Kote nilipopita duniani nimepata heshima kwa kuzungumza
kile ninachoamini na heshima yangu imepanda.

Haiwezekani heshima hiyo ivunjike JF.

Hakuna radio katika steshini maarufu duniani kama BBC, DW, Radio Iran, nk ambazo
hazijanihoji.

Nyingine kwenye simu na nyingine nikiwa ndani ya studio zao huko huko kwao.

Hii si dalili ya mtu aliyekosa heshima.

Maneno ya uzandiki nk. unayatupa ovyo.
Kwa jinsi hii hatupati faida katika mchango wako.

Ungepita katika hoja za Njozi na kutoa fikra zako ungenogesha
mjadala humu ukumbini.

Usiandike kwa hamaki.
Huu ni mjadala baina ya watu waliostaarabika.
 
Waliochoma makanisa ni waislam safi na ndio maana baadaye Sheikh Ponda alivisifia vitendo vile. Kwa hiyo unakosea sana unaposema hivyo, sisi sio watoto wadogo. Tuliona kila kitu kilichotokea .kwa hiyo badilisha kauli yako

Kwanini simkubali Ponda?

Uislam ni dini ya amani, ustaarabu na uvumilivu, enzi za Mtume Muhammad SAW siku moja alikuwa msikitini na maswahaba wake akaingia bedui mlevi ambae alikuwa ni kafiri. Alipoingia akamwaga "kojo" ndani ya msikiti. Wakati wa kitendo kile aliinuka mmoja wa maswahaba kutaka kumwadhibu Mtume akamkataza asimfanye kitu yule bedui amwache amalize kukojoa. Na alipo maliza akawaambia maswahaba wasimuadhibu akatoka akaenda zake salama usalimini. Mtume akawaamuru maswahaba wake wachukue maji wasafife "toharishe" msikiti.

Yule bedui baada ya pombe kumtoka akakumbuka kile kitendo alichokifanya na akakumbuka jinsi Mtume alivyomtetea asipigwe "jambia" akajisemeza mwenyewe "yule mtu ninaemuona dhalim ndio ameniokoa, yule ninaempinga kuwa sio Mtume ndie aliewakataza maswahaba wake wasinikatize mkojo kwani nitapata madhara kiafya" Yule bedui akamkubali Muhammad kuwa ni mtume wa kweli na kusilimu.

Ukisoma vizuri kisa hicho utaona mantiki ya Mohamed Said kusema wale waliochoma Makanisa walikuwa wahuni! na mimi napigilia msumari! wale waliofurahia kile kitendo/waliokiunga mkono ni wahuni! uislam hautufundishi hivyo! Wale wahuni ndio wanasababisha Waislam wote waonekane kama wale wa mbagala! Nitalipinga hili kwa kuwa najua wengi wa wafuasi wa baadhi wa masheikh fulani fulani wanakuwa hawana ilmu wanaongozwa na jazba zisizo na maana.

Naunga mkono juhudi zozote zinazotumiwa na Serikali kudhibiti mambo kama hayo! Waislam inatubidi tujiangalie wapi tulipojikwaa tujiiunue. Mimi nafikiri na nina imani kuwa Waislam wa Tanzania wanauwezo wa kujipambanua kimaendeleo na kiuchumi kupitia wao wenyewe bila mkono wa Serikali. Kuna matajiri wengi wanaotoka kwenye dini hii wakifuatwa na kuombwa kuchangia maendeleo kama ya kujenga vyuo vikuu, hospital za rufaa hawatakataa. Shilingi 200/= za waislam wa Tanzania nzima zinaweza kuleta mapinduzi. Tatizo ninaloliona hapa ni kuwa hakujapatikana kiongozi atakaeweza kusimamia hizo pesa tumeona kwenye mali za misikiti zinavyouzwa na pesa kufujwa na baadhi ya wadhamini wa misikiti walioaminiwa na waislam kusimamia mali hizo.

Mohamed Said michango yako ya kupigania haki kwa waislam inajulikana na waislam na wasio waislam wa hapa Tanzania na nje ya Tanzania. InshaAllah this time tungalie baada ya udhalili wa zaidi ya miaka 50 nini tufanye tuweze kufika pale tulipokusudia tuwe na InshaAllah Allah atatuongoza tutafikia malengo.

Wasalam

Mohammed
 
Wengi wao wana kitu ambacho mimi nimekiita Ubaguzi wa Ujinga.

Mkuu zomba sio ubaguzi mambo haya yanafanyika kwa mipango walio sio bahati mbaya, kumekuwa na malalamiko mengi sana hapa jf yanayohusu chama na dini. Madhalani mtu akileta post inayokashifu vyama fulani hazina madhara yoyote na zitaachiwa lakini mtu akija na post hata kama ina facts akakinanga chama "pendwa" humu jf atatukanwa na kukejeliwa bila ya hoja zake kujibiwa, hili tumeliona pia kwenye maswala ya dini Wailam wanapoleta hoja zao zenye facts huwa zinatolewa haziachiwi watu wakajibu facts zilizopo!

Jana nimeshuhudia watu wakimnanga Mohamed Said wakimwambia hoja zake not "tangible" na kuwa hazina ukweli wowote hivi inamtaka mtu awe na degree ngapi kuconnect the dots kwenye andiko la Mohamed Said hasa pale aliposema "Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) seemingly under the tutelage of Catholic Church out to oust a Muslim president, Mrisho Jakaya Kikwete, which broke the camel’s back. The Catholic Church prior to election issued an Election Manifesto and a document of guidance on how Christians should vote. The presidential candidate for CHADEMA was a former Roman Catholic priest. That said it all."

Sio kweli kuwa kanisa lilitoa maelekezo kwa waumini wake wamchangue kiongozi wa aina wanayomtaka? na je sio kweli kuwa Dr Slaa aliwahi kuwa kiongozi wa kanisa? Tuacheni jamani tuseme ukweli mchungu! Inabidi mjipange kujibu hoja na sio kuzitoa threads zinazofichua mipango yenu!
 
Ninanusa harufu ya mtu kutiwa ndani muda si mrefu.
Mchochezi mwenye kujiita msomi.

Msipokuwa makini na hizi harakati zenu, hamtakipata mnachopata.
Hakika nawaambia, mtaishia rumande, baadae mtapewa mashamba ya mawese Kigoma, hamtasikika tena.

.....msikutupuke.

Hutaki unaacha.
 
Ni rahisi sana kumatwa kama unavyofikiria kwani sisi ni watu tunaojulikana na tunatumia majina yetu halisi, hatumwogopi mtu katika ardhi hii ila tunafuata sheria kuogopa anastahili kuogopewa Mwenyezi Mungu peke yake! Nadhani umeelewa.
 
No body said anything kuhusu kuogopa, mimi nimesema MSIKURUPUKE.
Ni swala moja kuwa msomi, na swala jingine kutumia usomi wako kujenga.
Ninachoona hapa, kuna kubomoa kwingi sana kuliko kujenga, hapa namuongelea Mo Said.

Ningefurahi sana kuona BAKWATA inatoka mikononi mwa CCMinaacha kuwa jumuiya ya CCM, ingependeza kuona BAKWATA inakuwa coordination body ya jumuiya nyingine zoye za KIISLAM, na inakuwa truely, organ ya waislam.

Ningefurahi zaidi kuona harakati za either kufanya BAKWATA kuwa huru au kuanzisha jumuia/kupromote moja kati ya zilizopo kuwa the supreme organ.....harakati ambazo zinafanywa bila kuilalamikia serikali wala makanisa.

For once, tuone usomi katika practice...tuone vichwa vinakaa na kuamua mambo na kuweka mikakati inayotekelezeka.

Niliona mfano wako kwenye uzi uliofungwa, mfano wa jumuiya/organization huko Tanga inayofanya mambo makubwa...hiyo ni safi, lakini jumuiya/organizatns kama hizo zinatakiwa ziwe coordinated vizuri.

Labda niulize, hiyo organization ya Tanga iliyoweza kujipanga na kufanya mambo makubwa, Kanisa au serikali ilikuwa wapi mbona haikuihujumu?
 
Hivi wewe siku zote upo hapa JF hujajua wengi wa Pro-Chadema ndiyo wanaongoza kukejeli na kudhihaki Uislam na Waislam?Halafu wanasema Chama Chao sio cha kidini,sasa kama chama chenu ni cha kitaifa mbona mna wadhihaki na kuwa kejeli Waislam hapa JF?

Tena sio ajabu wengi wa wanao fanya hivyo utakuta wengine ni wakubwa wa chadema waliojificha majina yao!Nyie wafuasi na wapenzi wa chadema acheni kukejeli na kuwadhihaki waislam hivi mnajua Mohammed Said ,Mohammed Shossi hata mimi mwenyewe tutikwa nje ya JF tutapeleka ujumbe gani kwa waislam wenzetu wasio kuwa na access ya JF?

Hao Waislam wakiambiwa wengi wa wafuasi wa Chadema wana chuki na Uislam tutawajibu naam!Tuna likuta hilo JF tena sana !Ni vizuri wengi wa Waislaam wajulishwe kuhusu JF wapate taswira ya wapenzi na washabiki wa Chadema walivyo na chuki na Uislaam!
 
Unaujua Mzalendo Net?
 
Mkuu zomba sio ubaguzi mambo haya yanafanyika kwa mipango walio sio bahati mbaya, kumekuwa na malalamiko mengi sana hapa jf yanayohusu chama na dini. Madhalani mtu akileta post inayokashifu vyama fulani hazina madhara yoyote na zitaachiwa lakini mtu akija na post hata kama ina facts akakinanga chama "pendwa" humu jf atatukanwa na kukejeliwa bila ya hoja zake kujibiwa, hili tumeliona pia kwenye maswala ya dini Wailam wanapoleta hoja zao zenye facts huwa zinatolewa haziachiwi watu wakajibu facts zilizopo!

Jana nimeshuhudia watu wakimnanga Mohamed Said wakimwambia hoja zake not "tangible" na kuwa hazina ukweli wowote hivi inamtaka mtu awe na degree ngapi kuconnect the dots kwenye andiko la Mohamed Said hasa pale aliposema "Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) seemingly under the tutelage of Catholic Church out to oust a Muslim president, Mrisho Jakaya Kikwete, which broke the camel's back. The Catholic Church prior to election issued an Election Manifesto and a document of guidance on how Christians should vote. The presidential candidate for CHADEMA was a former Roman Catholic priest. That said it all."

Sio kweli kuwa kanisa lilitoa maelekezo kwa waumini wake wamchangue kiongozi wa aina wanayomtaka? na je sio kweli kuwa Dr Slaa aliwahi kuwa kiongozi wa kanisa? Tuacheni jamani tuseme ukweli mchungu! Inabidi mjipange kujibu hoja na sio kuzitoa threads zinazofichua mipango yenu!

Hayo hayo uyasemayo wewe ndio mimi ninayaita "Ubaguzi wa Ujinga", hayo ya kum single out Muislaam hata awe na jema lililojaa utukufu wao watalibaguwa tu, ni kwa ajili ya Ujinga waliojazwa nao, ni Ubaguzi wa Ujinga.
 
Kwanini simkubali Ponda?

Uislam ni dini ya amani, ustaarabu na uvumilivu, enzi za Mtume Muhammad SAW siku moja alikuwa msikitini na maswahaba wake akaingia bedui mlevi ambae alikuwa ni kafiri. Alipoingia akamwaga "kojo" ndani ya msikiti. Wakati wa kitendo kile aliinuka mmoja wa maswahaba kutaka kumwadhibu Mtume akamkataza asimfanye kitu yule bedui amwache amalize kukojoa. Na alipo maliza akawaambia maswahaba wasimuadhibu akatoka akaenda zake salama usalimini. Mtume akawaamuru maswahaba wake wachukue maji wasafife "toharishe" msikiti.

Yule bedui baada ya pombe kumtoka akakumbuka kile kitendo alichokifanya na akakumbuka jinsi Mtume alivyomtetea asipigwe "jambia" akajisemeza mwenyewe "yule mtu ninaemuona dhalim ndio ameniokoa, yule ninaempinga kuwa sio Mtume ndie aliewakataza maswahaba wake wasinikatize mkojo kwani nitapata madhara kiafya" Yule bedui akamkubali Muhammad kuwa ni mtume wa kweli na kusilimu.

Ukisoma vizuri kisa hicho utaona mantiki ya Mohamed Said kusema wale waliochoma Makanisa walikuwa wahuni! na mimi napigilia msumari! wale waliofurahia kile kitendo/waliokiunga mkono ni wahuni! uislam hautufundishi hivyo! Wale wahuni ndio wanasababisha Waislam wote waonekane kama wale wa mbagala! Nitalipinga hili kwa kuwa najua wengi wa wafuasi wa baadhi wa masheikh fulani fulani wanakuwa hawana ilmu wanaongozwa na jazba zisizo na maana.

Naunga mkono juhudi zozote zinazotumiwa na Serikali kudhibiti mambo kama hayo! Waislam inatubidi tujiangalie wapi tulipojikwaa tujiiunue. Mimi nafikiri na nina imani kuwa Waislam wa Tanzania wanauwezo wa kujipambanua kimaendeleo na kiuchumi kupitia wao wenyewe bila mkono wa Serikali. Kuna matajiri wengi wanaotoka kwenye dini hii wakifuatwa na kuombwa kuchangia maendeleo kama ya kujenga vyuo vikuu, hospital za rufaa hawatakataa. Shilingi 200/= za waislam wa Tanzania nzima zinaweza kuleta mapinduzi. Tatizo ninaloliona hapa ni kuwa hakujapatikana kiongozi atakaeweza kusimamia hizo pesa tumeona kwenye mali za misikiti zinavyouzwa na pesa kufujwa na baadhi ya wadhamini wa misikiti walioaminiwa na waislam kusimamia mali hizo.

Mohamed Said michango yako ya kupigania haki kwa waislam inajulikana na waislam na wasio waislam wa hapa Tanzania na nje ya Tanzania. InshaAllah this time tungalie baada ya udhalili wa zaidi ya miaka 50 nini tufanye tuweze kufika pale tulipokusudia tuwe na InshaAllah Allah atatuongoza tutafikia malengo.

Wasalam

Mohammed

Hiki kisa waislam walisha kidiscuss wakadai kwa vile msahafu umekojolewa , so wachukue ndoo nzima ya maji waimwagie kwenye msahafu????????
 
Back
Top Bottom