Mfumo kristu ukiongozwa na askofu Kikwete, askofu msaidizi gharibu Bilali, mchungaji kiongozi Chande na Chande yaani jaji mkuu na ndugu yake usalama wa taifa, mchungaji saidi mwema, na hapa dar mchungaji mdogo said meck na mchungaji kova ndoo wanawatesa waislam. Acheni kuota anzeni kufikiri na muwe mnabadilika kutokana na mazingira. Tanzania sasa viongozi wake ni waislam ila SIONI kama wanawasaidia waislam zaidi ya kuharibu nchi kwa kupachika wengine kwenye nafasi wasio na sifa. Mpaka nitakapoona muslimu university ina maprofesa wengi, hospital kwenye maeneo ya waislam na shule ndiyo nitaamini kuwa sasa wameanza udini sio uhuni wa siku hizi huu.