Nilimtetea Sana Gwajima baada ya zile n photo na movies zake.
Nilamini anasingiziwa,aah nilijua anasingiziwa.
Ila baada ya kuona wananchi wa Kawe wameshika kura zilizopita tayari kwa huyu anejiita Askof Basi tokea siku hiyo Mimi binafsi nilimvua u Askofu.
Hata hivyo sikujua kuwa Gwajima Ni CCM ,siku alipotia Nia kugombea ubunge kupitia CCM nilianza kutia mashaka Utumishi wake,maana CCM ushindi wao kwa kila sehemu huwa Ni haramu,wizi wa kura na ikibidi rushwa,utekaji na ikiwa lazima huua.
Mtumishi gani wa Mungu anaweza kuunga mkono hayo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.