Je, Gwajima alimshauri rafiki yake atoe rushwa?

Ngoja Bavicha waje!
Swali linatakiwa liwe ... je gwajima alishinda Kura za maoni? Kama hapana je ni maamuzi ya kumpitisha yalizingatia nn? Je hiyo ndiyo demokrasia inayohubiriwa kuwepo ccm ambapo kwenye nyama vingine haipo?
Ni sahihi kwa timu upinzani yanga/simba kuichagulia timu nyingine captain wake? Kama hapana vipi ccm waone kwamba mbowe hafai kuwa kiongozi WA chadema tu kwakuwa kamekaa muda mrefu?
Je Mangula ni kiongozi wa chama? Tangu lini? Majibu take ni lini mwana ccm alilalamika kwamba mzee huyu picha ya kupewa simu kamekaa muda mrefu madarakani na hivyo kutosha kuita huo ni ukosefu wa demokrasi ndani ya ccm na hata chadema wakalalamika?
 
Ukiandika Neno Shule, halafu mtu akaanza kulitafakari, atapata maana nyingi Sana zinazotokana na Neno Shule,

Ndiyo, Gwajima alitamka hivyo, kinachobaki ni tafakari zilizo/zisizo sahihi, ili mradi tu mtu anajidanganye katika ukweli usio ukweli!

Tafakari ya G malisa, sio tafakari ya kila mmoja katika usemi wa Gwajima,

Yeye kapata hicho, na mwingine atapata kile, mwisho wa siku inabaki kuitwa, ni tafakari zinazoongozwa na hisia zilizochanganyikana na upumbavu!!
Wewe tafakali yako ni ipi kutoka kwa kauli ya Gwajima?.
 
Back
Top Bottom