Je Gadaffi anataka kutawala Afrika kabla hajafa?

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
14,939
20,400
Mimi nina wasiwasi na kiongozi huyu kwamba nini hasa lengo lake, labda la kuwa raisi wa Afrika au mlezi kwani kufikia hatua ya kuwa kila siku anaangalia ramani ya Afika ni jambo la kushangaza.

0cea642096ce5fd9e6d8f816a8fc23bc-grande.jpg

Gadaffi na ramani ya Afrika.




Je kuna mwenye mawazo tofauti?
 
Wana JF wenzangu, huyu Gadaffi ni Mjumbe wa Shetani hivyo muangalieni sana; Yaani Gadafi ni JINI.
 
Back
Top Bottom