Je, Dkt. Kigwangalla amekata tamaa?

hawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo.
Usichukue mshahara wao uone Kama Kuna mtu atakufata nyumbani kwako kukupayukia, shida zako ndo zinakufanya unganganie hiyo nafasi mjinga wewe
 
Naona unafikiri ki academically sana! I have no time ya kubishana mkuu!
Hujajibu swali langu nilipokuuuluza kuwa nipe nukuu ya niliposema Kigwanga kaiba?

Ila wewe una ufahamu kidogo na ndiyo unautumia. Kumbuka kuwa ufahamu kidogo ni sumu kuliko kutofahamu kabisa.
 
Hujajibu swali langu nilipokuuuluza kuwa nipe nukuu ya niliposema Kigwanga kaiba?

Ila wewe una ufahamu kidogo na ndiyo unautumia. Kumbuka kuwa ufahamu kidogo ni sumu kuliko kutofahamu kabisa.
Sawa mimi nina ufahamu kidogo ila wewe kidogo zaidi!! Umerizika sasa?
 
hawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nmecheka kisenge man! "Koneksheni"
 
Vipi ile 1.8 T imeshatolewa majibu au majibu yake ilikuwa ni Assad kungolewa,mjuzi tujuze please
 
Hizo ni siasa tu. Walianza na elimu ya Kigwa ambayo haina shaka. Kila wakati anatafutwa pa kunyongewa.
 
Vipi ile 1.8 T imeshatolewa majibu au majibu yake ilikuwa ni Assad kungolewa,mjuzi tujuze please
Kamuulize Assad mwenyewe ndiye anajua. Alijifanya puyuyu kamwonyesha upuyuyu wake sasa kila siku anatembelea mashamba yake na ameanza kuwa mfanyabiashara uzeeni.
 
Naona unafikiri ki academically sana! I have no time ya kubishana mkuu!
Kigwanga hizo Tsh 2.58 bil alitakiwa kuziombea IDHINI ya Bunge kuzitumia kupitia SHERIA ya MAREKEBISHO ya MATUMIZI ya Wizara yake. Na huko bungeni CCM ina majority, wangempitishia tu na kumuachia azitumie atakavyo. Kigwanga hata hilo HAJUI? Kwa kweli HAELEWI Governance at ALL! Soma maana ya WIZI kwenye Penal Code.
 
Ukikubali kuajiriwa lazima ukubari masharti na mazingira ya mwajiri wako,ukishindwa piga kazi chini,kwani lazima ufanye kazi hapo? Shida ni njaa zenu si watanzania
 
Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.

Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Huu utumwa wa mazoea watu kuitwa hassan,ally,muddy, asha,chiku,Sofia, faiza nk kuhisi ni watu wa dini ya kiislam umepitwa na wakati
NB ukija hapa zenji na maeneo mwngi ya pwani A/mashariki watu jinsi hiyo nao makafiri tuu, hata HK vivyo hivyo jina lisiwadanganye hata hiyo elimu ya MD in elimu kama zilivyo zingine atumvuliwe tuu maana anatumalizia nguruwe pori wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…