Hivi ndugu waislam hivi kwann mkikamatwa pabaya mnaanza kuingiza udini? Unajuwa tuna wamonito mda mrefu ina maana wakrsito hawatumbuliw ? Acheni hii mambo banaIt seems you are highly ignorant, learn...
Basic articles of faith
Muslims have six main beliefs.
Allah
- Belief in Allah as the one and only.
- Belief in angels
- Belief in the holy books
- Belief in the Prophets...
- Belief in the Day of Judgement...
- The day when the life of every human being will be assessed to decide whether they go to heaven or hell.
- Belief in Predestination...
- That Allah has the knowlege of all that will happen.
- Muslims believe that this doesn't stop human beings making free choices.
Kama wewe huna dini si tatizo letu hilo.Hivi ndugu waislam hivi kwann mkikamatwa pabaya mnaanza kuingiza udini? Unajuwa tuna wamonito mda mrefu ina maana wakrsito hawatumbuliw ? Acheni hii mambo bana
We mama mada ya kisiasa umeiharibu na kupachika mambo ya kidini bila hata aibu !It seems you are highly ignorant, learn...
Basic articles of faith
Muslims have six main beliefs.
Allah
- Belief in Allah as the one and only.
- Belief in angels
- Belief in the holy books
- Belief in the Prophets...
- Belief in the Day of Judgement...
- The day when the life of every human being will be assessed to decide whether they go to heaven or hell.
- Belief in Predestination...
- That Allah has the knowlege of all that will happen.
- Muslims believe that this doesn't stop human beings making free choices.
Muislam cha kwanza (primary) ni Uislam, mengine yote yanafatia.We mama mada ya kisiasa umeiharibu na kupachika mambo ya kidini bila hata aibu !
Duh!
Ndugu yangu katika imani hatuna sababu kutetea kila mwislamu kwakuwa tu ni mwisilamu, yani hata akiw akibaka basi ni mwenzetu.
Hapa " msongo wa mawazo" unahusika!
Alikuwa anamjibu nani kwa lugha hii isiyo ya kiuongozi na iliyopungukiwa shukrani na adabu kwa mteuzi!
kashikwa na kigogo2014
Umenichekeshahawapi, mkuu kuwaongoza watanzania yataka moyo sana japo viongozi wetu wana mapungufu lakini wananchi wengi ni wapuuzi sana, wakishatoka kuangalia picha za utupu (koneksheni) wanakuja kukupayukia hovyo.
Wapi hiyo ?Kesha enda kibla huyo. Labda aite wale waganga wake wafanye tambiko lingine
View attachment 1412432
Waziri Kigwangalla afanyiwa maombi na wazee wa kimila na waganga wa kienyeji - JamiiForums
Nzega hukoWapi hiyo ?
ok, sawa kabisa ila mi warioba😀Sema wajina wako
Hajitambui, eti waziri anaamuru mtu aliyeua nyoka ashtakiwe. Dah tuna bahati mbaya sana Tz
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
wewe ni katibu wa Kigwa?
Hakuna mwanasiasa aliyepata pesa kihalali nje ya Kodi zetuPamoja na kufungua Hospitali yake aliyojenga kwa pesa za wizi,pale kijijini kwao PUGE.
Jifunze kutumia Google.
Kigwanga hizo Tsh 2.58 bil alitakiwa kuziombea IDHINI ya Bunge kuzitumia kupitia SHERIA ya MAREKEBISHO ya MATUMIZI ya Wizara yake. Na huko bungeni CCM ina majority, wangempitishia tu na kumuachia azitumie atakavyo. Kigwanga hata hilo HAJUI? Kwa kweli HAELEWI Governance at ALL! Soma maana ya WIZI kwenye Penal Code.
Unafahamu maana yake?Tatizo hapo ni Hamis
In God we Trust
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho... ila dawa ina "expire date" yake...Dah ulozi wote ule aliofanya amefeli?
Jr[emoji769]