Ivi kipindi kile mtoto wake anafariki kulikuwa na mahusiano yoyote na maswala ya Ulozi na ushirikina. Dunia ngumu sanaKesha enda kibla huyo. Labda aite wale waganga wake wafanye tambiko lingine
Ni sawa tu kama nikikuita ngosha au Segito......kuna ubaya wowote?Hivi unapoandika kila wakati "bwashee" unaamnisha "Bashe" au "Bwana Shemeji". Na ikiwa ni ndivyo huwa una maana gani kuwaita watu wote humu "Bashe" au "Bwana Shemeji"? Swali la ufahamu tu hebu tujibu tukuelewe
Kigwangala hana Elimu kubwa kama unavyodhani, hiyo Dr ni ya shahada ya kwanza ya udakitari wa binaadamu. Hivyo si miongoni mwa wasomi.Tubadili mfumo wetu wa Elimu yaani maneno ya dr hayana tofauti na Mimi niliyesoma memkwa,
mama kigwangwala tulia acha kuweweseka linda mitambo hapo nyumbaniKama wewe hauna dini siyo tatizo langu.
Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Kuna mtu kaichakachuua kauli ya Kigwa. Mie nimesoma alichoandika Twitter, kuna maneno yamepotoshwa hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. Khamis Mimi nimekuelewa sana wewe ni mwamba, usitishwe na hicho kidhamana ulichopewa TENDA HAKI, SIMAMIA HAKI, TIMIZA WAJIBU, FANYA IBADA, MENGINE MUACHIE MUNGUView attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Hatuna shukran kwa privilege zote anazopata si kodi zetu auHi mbona kama kauli ya kutia huruma?
Kwa hiyo wote wanaojitoa katika utimishi wao wakienda nje ya utaratibu eti kwa sababu ya kututumikia sisi tusio na shukran hii nchi itakuwaje?
Waziri mwenye hadhi ya udokta kweli haya ni maneno ya kuwajibu wananchi kweli?
Du!!! Kweli awamu ya 5 mmepoteza dira kiasi cha kutaka kuhalalisha na kulazimisha maendeleo nje ya utaratibu.
Kwa staili hii ni ngumu sana kuifikia nchi ya ahadi ase!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kufungua Hospitali yake aliyojenga kwa pesa za wizi,pale kijijini kwao PUGE.Anataka apate mda akasimamie biashara zake
Puge siyo kwao.Pamoja na kufungua Hospitali yake aliyojenga kwa pesa za wizi,pale kijijini kwao PUGE.
Ameona mwaka huu sababu ya Corona kwny utalii hakuna 'high season' so hakuna hela itaingia huko kwny wizara yake so bora atumbuliwe tu maana hana cha kupoteza.Hii kauli kama vile anamtisha Magu, yani anadai haogopi kutumbiliwa, pia uwaziri sio fursa kwake? amechoka kuwatumia watz?kwani nafasi ya uwaziri alipigiwa kura au aliteuliwa? Hii ni dharau sana kwa mamlaka ya uteuzi iliyomteua
Mbakaji anapalekwa polisi. Huna haki ya kumuhukumu yeyote yule. Au Kigwangwala alikubaka wewe?Duh!
Ndugu yangu katika imani hatuna sababu kutetea kila mwislamu kwakuwa tu ni mwisilamu, yani hata akiw akibaka basi ni mwenzetu.
Aah kumbe uwaziri siyo kazi ya kuomba? Anaekuteuwa ndiye anakuomba umsaidie au siyo?Hii kauli kama vile anamtisha Magu, yani anadai haogopi kutumbiliwa, pia uwaziri sio fursa kwake? amechoka kuwatumia watz?kwani nafasi ya uwaziri alipigiwa kura au aliteuliwa? Hii ni dharau sana kwa mamlaka ya uteuzi iliyomteua
It seems you are highly ignorant, learn...Mteuzi ni Allah?
Hii ni serikali ya Allah?
Theocracy regime ilianza lini?
Anajuwa alichokifanya sema siri kali let keep silence. As head is silence. Vijana hamna kitu
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG