Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,773
Reaction score
35,990
Nampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema)

Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla

Ushoga na usagaji ni kinyume cha nature yaani maumbile

Vita dhidi ya agenda ya ushoga ni ngumu mno
Nadhani hapa Gwajima acheze smart mno hii inaweza mpoteza Kisiasa au akaupa meno ushoga bila kujua
1. Sina uhakika kama ana meno kisheria kutuhumu ushoga

2. Sina uhakika kama anaweza kuthibitisha bila shaka kama huyo mhuni Anko T ni shoga

3. Sina uhakika kama sheria yetu inatambua mavazi ya kike na ya kiume
Na kuwa kama ni kosa kuwa mwanaume hapaswi kuvaa mavazi ya kike na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi ya kiume.

Na mavazi ya kiume na ya kike ni yapi hasa kisheria

4. Kuhusu Anko T kuvaa mawigi.
Je ni kosa kisheria

5. Nadhani sheria yetu haikujiandaa vyema ili ku deal ni hatari ya ushoga na usagaji

Nadhani Gwajima apeleke muswada bungeni ili apate mamlaka kisheria ili tuanze kuzuia hili janga

Screenshot_20260320-192433.png
 
Huyo Anko T anasapotiwa na Taasisi za Mashoga wala hatangazi biashara yake wala nini ,kama alikuwa anataka kutangaza angetumia Warembo/Wanawake kumtangazia ,sasa yeye anavyofanya anavyoavaa ni wazi anapromote ushoga ,watoto wataona ushoga unalipa hivyo atakuwa kama role model wao ,huyo Anko T kama anataka Ushoga aende kwa Trump au UK akakae huko ila kwa TZ maadili hayaruhusu ,wapite naye kama UPEPO au Aende Kupigwa MITI huko USA au UK.
 
Uko sahihi kabisa
 
Dah yawezekana ana tangaza tu biashara zake 🤔 ili kupata attention akaona ajiweke hivyo
Basi utakiwa humjui vzr!

Na hata kama kutangaza biashara ndio uwe wa kike? Shughuli anazoenda na mastar yupo Kike kike, ana mabifu mazito na wenzie kina gigy wanatukananaga kwneye live ana mdomo sana hata hilo neno sasampa yeye ndiye kalianzisha na maneno mengi tu ya ajabu ajabu!
 
Huyo Anko T anasapotiwa na Taasisi za Mashoga wala hatangazi biashara yake wala nini ,kama alikuwa anataka kutangaza angetumia Warembo/Wanawake kumtangazia ,sasa yeye anavyofanya anavyoavaa ni wazi anapromote ushoga ,watoto wataona ushoga unalipa hivyo atakuwa kama role model wao ,huyo Anko T kama anataka Ushoga aende kwa Trump au UK akakae huko ila kwa TZ maadili hayaruhusu ,wapite naye kama UPEPO au Aende Kupigwa MITI huko USA au UK.
Kwakwlei, aende tu mwenziye chokuu yuko huko miaka mingi tu anadanga mpk basi.. sijui wanakomaa kufanyia huku kwetu haya mambo ili iweje!
 
Back
Top Bottom