Je Diamond atakuwa chawa rasmi wa Baba Levo ikiwa Baba Levo atapewa Uwaziri wa Michezo?

Je Diamond atakuwa chawa rasmi wa Baba Levo ikiwa Baba Levo atapewa Uwaziri wa Michezo?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,631
Ninakiri na wengi mnajua namna nilivyokuwa ninamsapoti Diamond Platnumz,

Ila kutokana na maujinga yake nilipunguza rasmi ushabiki wangu kwake labda baadaye sana kama itatokea atabadirika na kujitambua kama ilivyokuwa hapo awali.

Ninakiri pia mwaka huu hapa Tanzania hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi .

Sasa ipo hivi, wengi tunajua baba levo ni mtu wa kujikomba ila kwenye kujenga hoja si haba si haba sio mweupe kihivyo na pia possibility ya kupewa uwaziri ipo maana wabunge walipita awamu hii ukimtoa professor Palamagamba Kabudi na Joyce Ndalichako asilimia kubwa waliobaki ni weupe sana.

Uwezekano wa baba levo kupewa uwaziri wa michezo upo ,iwe kwa kutumia ushawishi wa Diamond au yeye mwenyewe maana uwezo wa kujieleza anao.

Sasa swali langu lipo hivi, je Diamond anaweza akawa chawa rasmi wa baba levo kama itatokea baba levo akaukwaa uwaziri?
 
Domo hana uwezo wa kuifluence mtu wake kuwa waziri, mleta mada elewa hilo, yeye mwenyewe ni chawa tu
 
Huyo aliyewahi kusema angekuwa demu angemzalia mond? dume likishatatuliwa linapoteza self esteem mbele ya mtatuaji. Ata apewe cheo gani ataendelea kuwa chawa wa mondi dalali wa nafsi yake.
 
Kasome vigezo vya mbunge kuwa wazuri ukimaliza ndio uje tujadili, kama uelewa wako ni wa hapa na pale basi siyo kosa lako,
Baba Level hawezi kuwa wazuri kwa kiwango cha elimu yake,
 
Back
Top Bottom