Toosie Slide
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 788
- 962
Wakuu ntajibu kwa kifupi tu Kibiblia malaika hawafi sababu hawakuumbwa na mwili wa damu na nyama kama wetu kuendana na majukumu ambayo Mungu aliwapa na mstari unaoeleza hili niNi kweli mkuu hapo pana utata labda zitto junior unaweza kutusaidia kidogo hapa.
asante mkuu.
Shetani ni kasumba_Hayupoasante mkuu.
Kwa Kutumia Bibilia.
Kuna facts kadhaa.
1: Dhambi iliibuka moyoni mwa Lucifer.
2😀hambi kwa Duniani ilianzia Bustani ya Eden. Kitendo cha shetani kudanganya ni ushahidibtosha alikuwa kaishaasi huko mbinguni.
3:Hatujui interval ya muda kati ya Uasi mbinguni na ule wa eden. Ila wa mbinguni uliutangulia wa eden.
4: Mbingni viumbe wanamuabudu Mungu kwa hiyari na upendo, sio vitisho na nguvu. ndio maana huyo aliasi. na wote wanaomuabudu Mungu kwa kuogopa moto wataishia motoni
5:Mungu aliumba Universe Sio Mbingu na Dunia tu. Hivyo kwenye madecillioni ya sayari na wanasayansi wanahitaji infinity years kuexprore kila kitu bila kumaliza hata asilimia moja, Yawezekana kukawa na dunia nyingine mbalimbali zenye viumbe ambavyo wenda havikusililiza upotovu wa shetani. Bibilia imeandikwa kwa ajili yetu na watoto wetu wakazi wa Dunia.
5:Mungu anasema atakomesha uovu wote na muasisi wake. Kama kutatokea na kitu kingine chenye sura ya uovu hivyo atajua yeye atashughulika nayo sio kazi yetu.
Ila uhakika 100% mwanadamu ameahidiwa na Mungu kukaa pale Lucifer alipopatamani na kupelekea kufurushwa mbinguni. Tutakaa hightable na Mungu. Nguvu kubwa tungeielekeza kwenye yale Mungu aliyotuandalia kwa kumtegemea yeye kushinda Maadui wakubwa wawili wa ubinadamu yaani Mwili na Shetani na mawakala zake.
6: mbinguni ni mahala halisi sio nadharia, Kuja wa Yesu kukomesha uovu, na kuchukua wateule ni tukio halisi.
Tutii na Kumuamini mkuu kwa sababu hatujui tutasinyaa na kupukutika kwenye uso wa dunia hii lini.
Mkuu kwanini unapinga suala la kuwepo shetani?Shetani ni kasumba_Hayupo
Mnamuonea Bure Tu
Kwanza kama kweli shetani yupo atakuwa na faida sana kwenu wakristo_kwakuwa bila yeye msingemjua yesu na nguvu zake
Msiwe wachoyo wa fadhila mnatakiwa kumshukuru
1celestial hierarchyNijaribu kuongezea " mara baada ya kula tunda Eden kuna sehemu inasema 'adam na hawa walifukuzwa na wakawekwa malaika walinzi' kwani wangeweza kula tunda la mti wa uzima wa milele wakaishi daima", kama sijakosea inasemekana baada ya ulaji wa tunda adam na eva wakawa kama aliye/ walio waumba isipokua tu walisahau kula na tunda la mti wa uzima wa milele. Hivyo basi kwa mantiki hiyo dhambi zitakuwepo hata huko
cc zitto jr, life coded, eiyer
Kwa maelezo hayo mkuu ni majibu ya swali la mtu aliyetaka kujua kwanini shetani na kundi lake hawafi.Wakuu ntajibu kwa kifupi tu Kibiblia malaika hawafi sababu hawakuumbwa na mwili wa damu na nyama kama wetu kuendana na majukumu ambayo Mungu aliwapa na mstari unaoeleza hili ni
Luka 20:36
36 wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.
Cc maliedo
Ni Dai la shetani linalotengenezwa kupitia kitabu hicho _Ndilo linalodhalilisha Utukufu anaolazimishwa kuwa naoMkuu kwanini unapinga suala la kuwepo shetani?
Tatizo sio kwamba hayupo ila kuna watu wengi wanamkuza sana huyo shetani kana kwamba ana mamlaka makubwa na ana nguvu za kushindana na Mungu,yani kwao anachokifanya shetani sasa ni kushindana nguvu na Mungu kwamba kuna nguvu za Mungu na za shetani.Ni Dai la shetani linalotengenezwa kupitia kitabu hicho _Ndilo linalodhalilisha Utukufu anaolazimishwa kuwa nao
Mimi nadhani Shetani katungwa kuwa kama kipoozeo tu cha watu kumchukia Mungu
Jaribu kuuliza mkristo yeyote mkomavu _kuhusiana na faida anayoitafuta Shetani_Katika dai lake la kuasi Mungu
Uone utoto utakaojibiwa kiasi kwamba ukilinganisha na ufahamu wako_ utajiona wewe una hekima kubwa kuliko ya huyo kiumbe
Kitu kitakacho kupelekea kutoona umuhimu wa uhusika wake_ zaidi tu ya nafsi moja ya Muumba.....we jaribu tu kuuliza
Au kama unalifahamu hilo kusudi liangalie tena upya labda utaona nilichokiona mimi
Nakubaliana na weweTatizo sio kwamba hayupo ila kuna watu wengi wanamkuza sana huyo shetani kana kwamba ana mamlaka makubwa na ana nguvu za kushindana na Mungu,yani kwao anachokifanya shetani sasa ni kushindana nguvu na Mungu kwamba kuna nguvu za Mungu na za shetani.
asante kwa maoni.Shetani ni kasumba_Hayupo
Mnamuonea Bure Tu
Kwanza kama kweli shetani yupo atakuwa na faida sana kwenu wakristo_kwakuwa bila yeye msingemjua yesu na nguvu zake
Msiwe wachoyo wa fadhila mnatakiwa kumshukuru
Asante kwa maoni.Mungu yupo, hakuna shetani, hakuna dhambi.
Natural law ndo zipi Mkuu?Dhambi ni kupingana na "natural law" mf. Usiue ! Ni tendo linalosuta nafsi yako hata kama ni atheist !
Mkuu unasema dhambi imeanzia duniani (edeni) je uasi alioufanya Lucifer (Mbinguni) haikuwa dhambi? kama haikuwa dhambi kwann Mungu alimuadhibu kwakumtupa duniani? na je duniani ni sehemu ya waliomkosea Mungu?asante mkuu.