Je, dhambi ilianzia wapi na mwisho wake ni UPI?

Wakuu kama swali linavyouliza hapo juu;
Nimekuwa nikipata mkanganyiko mkubwa pale ambapo nakutana na mjadala unaoelezea chanzo au mwanzo wa dhambi.

Nadharia ya kwanza ni kuwa chanzo cha dhambi ni pale kwenye bustani ya Eden baada ya Adam na Hawa kukubali kula tunda kutoka katika mti wa ujuzi wa mema na mabaya (ambalo Mungu aliwaambia wasile).Hoja hii imejengeka katika kitabu cha Mwanzo 3.

Lakini pia kuna nadharia ya pili ambayo inaonesha kuwa kulikuwa na vita kubwa Mbinguni, ambapo Shetani na Malaika wake walipigana na Mikaeli na Malaika wake, baada ya mapigano hayo Shetani alishindwa na kutupwa chini yeye pamoja na Malaika wake. Kwa maana hiyo hii nadharia inaonesha kuwa dhambi ilianzia mbinguni. Hoja hii imejengeka katika kitabu cha Ufunuo 12.
Lakini hoja ya pili huwa haizungumziwi sana kama chanzo cha dhambi.

Tukiachana na chanzo cha dhambi, ningependa kujua upi utakuwa ni mwisho wa dhambi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo;
  • Je, hakutakuwa na kiumbe mwingine mbinguni atakayeileta dhambi tena.(Kama alivyofanya shetani hapo awali)
  • Je, hakutakuwa na binadamu wengine watakaoshindwa kutii maagizo kama Adam na Hawa?
  • Kitu gani kitazuia dhambi isitokee tena kama imewezekana kutokea wakati huu?
Karibuni wajuvi wa mambo muweze kunisaidia hapo;

Note: Nimetumia reference kibiblia kwasababu ndiyo ninayoijua lakini hiyo haizuii kutumika kwa reference kutoka katika Quran na vitabu vingine kama zipo.
Dhambi_ni matokeo ya kwenda kinyume na utaratibu uliowekwa

Vilevile unaweza kusema ni matokeo ya uasi wa sheria zilizowekwa

"Hivyo huwezi kupata neno Dhambi bila kusimika viwango fulani vya kufuata kama roboti"

NB:ni neno la kiimani zaidi.

Haya na turudi sasa katika mada

Kwa mujibu wa biblia katika usomaji usio na mawaa

Hakuna kitu kinacho onesha kuwa hii ni dhambi japo imeandikwa kulingana na tafsiri ya muandishi wa kitabu

Na kwa taarifa fupi tu yenye kuhuzunisha ni kwamba hakuna mwisho wa dhambi

Kile kinachosimuliwa kama chimbuko la dhambi huko mbinguni kwa mujibu wa nadharia yako ya pili

Ni utaratibu wa kawaida wa kizazi_utumikao kuzalisha roho mpya zisizo na mawaa zinazostahili kula Bata sehemu fulani husika

Kwa kutupwa wale waasi kwenye ulimwengu uonekanao ili wazaliwe upya katika kustahili

Ni kama wewe unavyotupa zile ndude zako kwa Ke wako ili kupata kinacho stahili

Ulimwengu uonekanao ni kama Ke

Na ule usio onekana ni kama Me

Ni hekima ya kupizzzz Tu itumikayo_iliyo asili ya nguvu ya msukumo ulimwenguni kote (a Yin and Yang)

Kama umeelewa gonga like [emoji3]
 
dhambi ilianza bustani ya edeni yakiwa ni matokeo ya mawazo ya uasi ya kiumbe anaitwa shetani kwenye biblia haisemi popote kwa mbinguni kuliwahi kuwa na dhambi kabla ya hapo...
Waroma 5:12 Hiyo ndiyo sababu, kama vile kupitia mtu mmoja dhambi iliingia katika ulimwengu na kifo kupitia dhambi, basi kifo kikaenea kwa watu wote kwa sababu wote walikuwa wamefanya dhambi—.

Kuhusu malaika wao pia wana uhuru wa kuchagua wanaweza kutenda kila wanachopenda tunasoma kipindi cha Noa walijivika miili ya binadamu wakafanya uzinzi yaani dhambi matokeo waliyoyapata yametajwa kwenye 2Petro2:4 Hakika Mungu hakujizuia kuwaadhibu malaika waliofanya dhambi, bali aliwatupa ndani ya Tartaro, akiwaweka kwenye minyororo ya giza zito ili wawekwe akiba kwa ajili ya hukumu.

mwisho wa dhambi ni kifo
Acha Wongo mkuu dhambi ilianza mbinguni.
 
Wakuu kama swali linavyouliza hapo juu;
Nimekuwa nikipata mkanganyiko mkubwa pale ambapo nakutana na mjadala unaoelezea chanzo au mwanzo wa dhambi.

Nadharia ya kwanza ni kuwa chanzo cha dhambi ni pale kwenye bustani ya Eden baada ya Adam na Hawa kukubali kula tunda kutoka katika mti wa ujuzi wa mema na mabaya (ambalo Mungu aliwaambia wasile).Hoja hii imejengeka katika kitabu cha Mwanzo 3.

Lakini pia kuna nadharia ya pili ambayo inaonesha kuwa kulikuwa na vita kubwa Mbinguni, ambapo Shetani na Malaika wake walipigana na Mikaeli na Malaika wake, baada ya mapigano hayo Shetani alishindwa na kutupwa chini yeye pamoja na Malaika wake. Kwa maana hiyo hii nadharia inaonesha kuwa dhambi ilianzia mbinguni. Hoja hii imejengeka katika kitabu cha Ufunuo 12.
Lakini hoja ya pili huwa haizungumziwi sana kama chanzo cha dhambi.

Tukiachana na chanzo cha dhambi, ningependa kujua upi utakuwa ni mwisho wa dhambi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo;
  • Je, hakutakuwa na kiumbe mwingine mbinguni atakayeileta dhambi tena.(Kama alivyofanya shetani hapo awali)
  • Je, hakutakuwa na binadamu wengine watakaoshindwa kutii maagizo kama Adam na Hawa?
  • Kitu gani kitazuia dhambi isitokee tena kama imewezekana kutokea wakati huu?
Karibuni wajuvi wa mambo muweze kunisaidia hapo;

Note: Nimetumia reference kibiblia kwasababu ndiyo ninayoijua lakini hiyo haizuii kutumika kwa reference kutoka katika Quran na vitabu vingine kama zipo.
Kama unamwamini Yesu kristo Basi usingekua na haja ya kuuliza hayo maswali

Yesu kashaishinda Dhambi
Hakuna kiumbe kingine kitakacholeta Dhambi ulimwenguni kwani Yesu alimshinda shetani na akakishinda kifo kwani alikufa na akafufuka ,mshahara wa Dhambi Ni mauti lakini baada ya kushinda mauti wote watakaomwamini Yesu watafufuliwa na watakua hai milele katika raha huko ndo kushinda dhambi
 
Mkuu kama Yesu aliishinda dhambi kwahiyo sasahivi hakuna dhambi?
 
Tuanze kwa definitions kwanza.

Dhambi ni nini?

Tuje kwenye epistemology

e·pis·te·mol·o·gy
/əˌpistəˈmäləjē/
noun
PHILOSOPHY

  1. the theory of knowledge, especially with regard to its methods, validity, and scope. Epistemology is the investigation of what distinguishes justified belief from opinion.
Epistemology - Wikipedia

Kwa nini unafikiri habari za dhambi kuanzia bustani ya edeni ni sahihi na kweli, na si hadithi tu?
Bwana mdogo Kiranga naomba uniambie maana ya mgongano(contradiction)kwa kiswahili ni nini?
 
hahahahah nipe andiko linalosema ilianzia mbinguni...nithibitishie kwa hoja
“Son of man, take up a lamentation over the king of Tyre and say to him, 'Thus says the Lord GOD, you had the seal of perfection, full of wisdom and perfect in beauty. You were in Eden, the garden of God; Every precious stone was your covering: The ruby, the topaz and the diamond; The beryl, the onyx and the jasper; The lapis lazuli, the turquoise and the emerald; And the gold, the workmanship of your settings and sockets, was in you. On the day that you were created they were prepared. You were the anointed cherub who covers, and I placed you there. You were on the holy mountain of God; You walked in the midst of the stones of fire. You were blameless in your ways from the day you were created until unrighteousness was found in you. By the abundance of your trade you were internally filled with violence, AND YOU SINNED Therefore I have cast you as profane from the mountain of God. And I have destroyed you, O covering cherub, from the midst of the stones of fire. Your heart was lifted up because of your beauty; You corrupted your wisdom by reason of your splendor. I cast you to the ground; I put you before kings, that they may see you. By the multitude of your iniquities, in the unrighteousness of your trade you profaned your sanctuaries. Therefore I have brought fire from the midst of you; It has consumed you, and I have turned you to ashes on the earth in the eyes of all who see you (Ezekiel 28:12-18 ).
 
andiko zuri kwenye mstari wa 13 inaonyesha shetani alikuwa edeni kwenye mstari 15 inaonyesha Shetani alikuza wazo fulani lisilofaa bado angeweza kujizuia lakini alitekeleza wazo hilo akiwa kwenye bustani ya MUNGU edeni(kumbuka bustani ya edeni ipo duniani wala si mbinguni)
 
7 Then war broke out in heaven. Michael and his angels fought against the dragon, and the dragon and his angels fought back. 8 But he was not strong enough, and they lost their place in heaven. 9 The great dragon was hurled down—that ancient serpent called the devil, or Satan, who leads the whole world astray. He was hurled to the earth, and his angels with him.
(Revelation 12)
 
Hivi shetani alikula lile tunda la uzima nini?.mbona yeye na wafuasi wake hawafi.
 
Hapo ndipo penye utata maana kuna wanaosema hawafi kwa sababu malaika ni roho tu hivyo roho hazifi na kuna wanaosema malaika wanakufa.
Hapa ni utata sana.haya mambo ni magumu
 
Kama unamwamini Yesu kristo Basi usingekua na haja ya kuuliza hayo maswali

Yesu kashaishinda Dhambi
Hakuna kiumbe kingine kitakacholeta Dhambi ulimwenguni kwani Yesu alimshinda shetani na akakishinda kifo kwani alikufa na akafufuka ,mshahara wa Dhambi Ni mauti lakini baada ya kushinda mauti wote watakaomwamini Yesu watafufuliwa na watakua hai milele katika raha huko ndo kushinda dhambi
Hizi siasa za biblia sijawahi kuzielewa. Ameishinda dhambi, amekufa kwaajili yetu lakini mbona bado dhambi ziko pale pale na zinazidi kushamiri
 
sijui ni kitabu gani unatumia lakini uasi wa kwanza ulirekodiwa kwenye bustani ya Edeni yapokuwa Shetani alikuwa mbiguni alimtumia nyoka kutekeleza tamaa yake...
hakuna mahali popote dhambi ilirekodiwa mapema zaidi ya kwenye Edeni
Umesoma vitabu vya dini gani na dini gani mpaka umeme hivyo?
 
Back
Top Bottom