Je, CHADEMA hawaelewi maana ya Lockdown?

Sasa unataka watu wafanye nini?.
Kama corona ndo hyo imeshatimba?..
Kwani lock down ndo dawa ya corona?..
Ebu Anza wewe kujiweka lock down .
Mkuu please usifanyie Siasa hili Janga. Usisubiri ndugu zako waondoke ndio ujuwe ili ni janga la dunia.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Una vifaa vya kufanya hiyo mass testing? Je, ukishafahamu nani ana ugonjwa na nani hana utafanya nini? Hata nchi kama UK hawajaweza kufanya hiyo mass testing! Upo ulimwengu upi mkuu?
 
Tatizo cdm furaha yao ni kuona watanzania wanapata maafa.
Kwanini wanasubiri serekali itangaze. Watuoneshe mfano kwa wao kujifungia ili wengine tuwaige

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana yake?

Freeman karantini imemshinda kakimbilia posho mjengoni.......wewe kapuku si ndio utafia nyumbani kwa wazazi kabisa!

Freeman ndiyo nani? Wewe unayejidhania ati kuwa ni Yohana Mbatizaji wakati ni likapuku wahedi hujihurumii?

Unadhani kila mtu ni wa siasa siasa kama likapuku wewe?

Ama kweli wewe katika makapuku wewe ni baba lao.

TWAWEZA eeh kuna jingine huku eti linadhani ndio lililombatiza Yesu.

Jinga kabisa!
 
Nyakati kama hizi kuelekea uchaguzi ni vema Chadema wakakaa kimya ikiwa hawana cha maana cha kuzungumza. Kuna mambo wanazungumza yanawafurahisha wafuasi wao wa "mtandaoni" ambao hata akili zao ni za "mtandaoni".

Wafuasi wa Chadema wa mtaani kama mama ntilie, wauza genge, makondakta, machinga, nk., kwao ni aheri ku-risk kupata hiyo corona mtaani kuliko kukaa ndani wafe njaa (ni hayawani tu anayedhani serikali yetu ina uwezo wa kutupatia chakula ikitufungia).

Anyways, tangu gia ya 2015 nilibaini kuwa lengo kuu la Mbowe si kuipeleka Chadema ikulu bali kuitumia kiuchumi. Ndiyo sababu hataki Chadema inayojielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hasira hizi utaweza kweli kufungiwa ndani manka?!

Njaa ikikuuma utawatesa sana wazazi wako kiasi cha kujutia kula tunda!
 
Umeongea ukweli kwa asilimia πŸ’―
 
Hao wanataka mtazamo wako ufanane na chama Chao (Chadema) wapuuze tu unapoteza muda wako kubishana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…