kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kivipi Hali kamfanyia kazi nzuri sana ya kuuwa upinzaniNaona SIRRO kakalia kuti kavu, subirini wiki ijayo kabla ya mwaka mpya mtaisikia habari yake.
Nabii Bujibuji
HapanaKwa Tanzania hao hata miaka 100 wanasonga tu mfano sasa wote wana zaidi ya miaka 63 lakini nado wanaendelea kusonga mpaka 2025
Mbona kisura Sirro anaonekana mzee kuliko mabeyo ? ama ni maisha ndio yanafanya ivyoHapana
Sirro ana miaka 57
Mabeyo ndio ana miaka zaidi ya 60
Hapo sina jibu kwa kweliMbona kisura Sirro anaonekana mzee kuliko mabeyo ? ama ni maisha ndio yanafanya ivyo
Roho mbaya inazeesha Mkuu !!Mbona kisura Sirro anaonekana mzee kuliko mabeyo ? ama ni maisha ndio yanafanya ivyo
Una maana gani kusema hamna mtu anayependa kustaafu? Yaani hiyo kauli yako unaiona iko sawa kabisa. Kama mtu amechoka na kazi na muda kuondoka umefika na kikokotoo chake kipo tayari kwanini asipende!Hakuna mtu anayependa kustaafu muelewe,waacheni nao wale mema ya nchi
Siyo lazima CoS amrithi CDF, ye yote kuanzia Brigadier General anaweza kuwa CDF. Ni mapenzi ya Rais kuamua.Jibu sahihi kwa TPDF ni kwamba inatagemea mambo matatu; (1) Kama deputy wake bado ni kijana: kwa mfano iwapo Chief of staff ana miaka kama 55 hivi basi anaweza kupanda kuwa CDF kwa miaka mingine mitano, lakini iwapo CoS naye ana miaka hiyo 59 au 60, basi Rais anaweza kumweongezea muda wa mwaka mmoja CDF na kuteua Chef of staff kwa mwaka mmoja kabla hajampandisha kuwa CDF. (2) Kama kuna operation ambayo rauis anataka ikamilike kwanza kabla ya kubadilisha uongozi wa jeshi; kwa mfanoi hawezi kustaafisha CDF wakati nchi iko vitani hata kama kweli kafikia miaka 60. (3) Ikimpendeza rais, anaweza kuamua lolote kwa sababu yoyote ile au bila kuwa na sababu yoyote
Umesoma hiyo item ya tatu nilisemaje?Siyo lazima CoS amrithi CDF, ye yote kuanzia Brigadier General anaweza kuwa CDF. Ni mapenzi ya Rais kuamua.