Je, Captain Tesha ni nani?

Mkuu wewe una wasiwasi na yeye kuwa mwanajeshi au una wasiwasi na ujumbe aliotoa?
 
Hivi nyie people mlijua yuko peke yake Dada ake alitekwa akarudishwa mda huo huo na police ikakubali Polepole anasema nyaraka yoyote isipotee au itapotea na Wewe documents yoyote isipotee au itapotea na Wewe tafakari Magufuli aligusogeza mbele turudi tena mambo ya nyuma mapedeshee kutembea mabulungutu matapeli wa viwanja wakina Alex Msama wakina Papa Msofe haiwezekani Lakin kila mtu ale kwa jasho lake
 
Kweli mahangaiko si mazuri, ebu nifafanulie zaidi.
What happened today is symbolic and strategic at the same time. Serikali ilaanza kudemoralize watu kwa kupitisha Askari, and then a much bigger counter came, equations zimebadilika kabisa.

Sema inategemea kama una comprehend vitu kwa namna gani, ila kuanzia sasa CCM wanaofanya uchaguzi watakuwa wanaishi wa kudra za Mungu na Watanzania, hawataweza tena kuwa na ujasiri wa kutishia waandamanaji kwa kutumia majeshi.
 
Akina Thomaso mweh!
Ni mwajeshi si mwanajeshi sio hoja
Hoja ni ujumbe Umefika kwa watesi lolote lawezekana.

Mkuu wa Jeshi amewatosa watu kiaina rejea sentensi aliyosema β€˜ nawaheshimu wakuu wangu wa jeshi’

Hii imeenda….
 
Jambo ambalo nilishangazwa na Polepole ni kujiamini kwake.Kila akiongea anasema bado muda kidogo jambo litakamilika.
Na anadai yuko ndani ya nchi.Kama yupo nchini inakuwaje watu wasiojulikana hawampati.Na Mange aliwahi kusema Polepole hajakurupuka.Ni kama domino effect.
Kumbe kuna jambo nzito sana.
 
Unafikiri Lissu ni mfanyabiashara na mtoto wa mjini kama Mbowe! Ambaye ukimuwekea hela mezani hachomoki? Muulize Abdul alipokwenda na begi la hela nyumbani kwa Lissu kwa lengo la kumziba mdomo, tena akisindikizwa na Wenje! Halafu nini kilitokea.
Lissu Magufuli hawa wote sio watoto wa mjini tena Magufuli ndo kabisa kwao chato Mjini alikuja kusoma na akawa anasoma chuo Lissu vile vile mjini Imemleta shule hawa Kumbunga walikua vipanga miaka hiyo tunasema wale watukutu wenye akili kila mtu tujau Magufuli alifukuzwa Seminary kitendo cha kusoma seminary akili ilikuemo. Tunajua msimamo ya Lissu shuleni JKT je Lissu pamoja na ukipanga akuingia Tiss kwa rada Tiss sio wale Tiss wazalendo ilo linabaki fumbo
 
Ok tuletee nembo halisi inafananaje.

Ukikanusha njoo na uhalisia sio zile stori kama za polisi kuwa kifo cha Mzee Kibao hawahusiki halafu uchunguzi unaendelea halafu hadi leo ni mwaka.

Ukikanusha njoo na uhalisia hatutaki story nyingi.
Wewe jichanganye tarehe 29/ 10 ndiyo utaijuwa nembo halisi ya JWTZ
 
Hili ndio jibu la nilichouliza?

Ipo wapi nembo halisi iweke hapa tusiofahamu tujue.
Utaijuwa siku ya siku ukiwa umeshavunjwa ugoko na miguu imefungwa mawe hospitali
 
Nilisoma nae shule ya msingi chanika iliyopo wilaya ya ilala katika mkoa wa Dar es Salaam,baada ya hapo sekondari hatukusoma pamoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…