Je, Captain Tesha ni nani?

Hii ni "sukari trap" nini kupata "rouge elements" zote huko kunako husika?
===
Teknolojia inakwenda kasi sana
 
Huyu Kapteni atakuwa shogo kikundi cha Polepole mwanajeshi anaongea kajificha.
 
Wananchi wanazidi kupata starting point ya kutoka tar 29 iwe kweli au sio kweli..!!
 
Nchi yetu bila uchafuzi wa hali ya hewa hainogi, acha ichafuke kidogo...
 
Kama namba inaonekana then ni askari wa JWTZ ila kama haionekani then itakuwa amevaa kombati za kuazima au za kutengeneza.
 
Yule MBIBI anazidi kujibebea dhambi sa kutosha!

God bless Tanganyika
 
Hii ni "sukari trap" nini kupata "rouge elements" zote huko kunako husika?
===
Teknolojia inakwenda kasi sana
😀😀😀 Unahangaika sana, huwezi ukashindana na waliokuzidi akili na mikakati, mlisema kwenye mwendokasi watu hawawezi kuandamana.

Serikali ya Tanzania kwa sasa haina substancial resources za kuzuia kuanguka kwake as long as haitakaa chini na Wananchi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…