Je, bomu la nuklia likipigwa Marekani au Ulaya, Tanzania tunaweza kufikiwa na mionzi yake?

Ndiyo.

Bomu la nyuklia lina 1) Mripuko (blast) 2) thermal radiation (mawimbi ya moto) 3) ionizing radiation ( mionzi ya x ray au gamma ray).

Madhara makubwa ya msingi (primary) huwa pale linapotupwa na madhara secondary yanaweza yakaizunguka dunia nzima kwa muda mrefu sana bila wenyewe kujijuwa.

Usikute hata cancer zinazoshamiri siku hizi duniani ni athari za mionzi ya hayo majaribio ya ma nyuklia na au mabomu yaliyorushwa Hiroshima na Nagasaki.
 
Ghafla kigagula umekula chura wa jangwani au kuna mtu amekudukua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa kumbe lengo lako lakuuliza ndio lilikuwa hili .

Mkuu hilo hawezu kulitumia. Sasa akilitumia yeye atanufaika vipi tena na ulimwengu " kwa sababu maendeleo yeyote duniani yanategemea na uwepo wa rasilimali watu " utengeneze let say technology au bidhaa mbali mbali kisha uziuze katika nchi mbali mbali Au uvamie baadhi ya nchi upore rasilimali zao kisha uunde mifumo ya ulipaji kodi kwa hao watu wewe uwe mkusanyaji " kisha unakuwa unawakamua kama ng'ombe wa maziwa na kujiongezea pato lako la uchumi kwa style "

So swali la kujiuliza ni hili kama Russia ikibiga hilo bomu na watu wote kufa wao watakuwa wana nufaika vipi tena baada ya hapo " nchi yao itakuwa inafanya biashara na watu wa taifa gani " ili waweze kukua kiuchumi " na hatimae kufikia malengo ya kuwa super power " Yaani utaitwa vipi super power ikiwa duniani umebaki peke yako " na hakuna hata taifa moja ambalo unaweza kulifanyia ubabe ili uweze kuthibitisha huo u -super power wako ulionao "
Sasa hili asitumie, maana tutaumia hata tusiohusika kwenye ugomvi, tunaomba watumie busara katika hili na sio kutaka kutukomoa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very true, US na Russia kwa pamoja wana reserves za nuclear warheads za kutosha za kuangamiza dunia yote.
Also true that Hiroshima and Nagasaki were hit by A bomb.
Japan walipiga Atomic sio nuclear.Ila ukweli Marekani na Urusi pekee wakiamua kuifuta dunia kwa masaa machache wanaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo.

Bomu la nyuklia lina 1) Mripuko (blast) 2) thermal radiation (mawimbi ya moto) 3) ionizing radiation ( mionzi ya x ray au gamma ray).

Madhara makubwa ya msingi (primary) huwa pale linapotupwa na madhara secondary yanaweza yakaizunguka dunia nzima kwa muda mrefu sana bila wenyewe kujijuwa.

Usikute hata cancer zinazoshamiri siku hizi duniani ni athari za mionzi ya hayo majaribio ya ma nyuklia na au mabomu yaliyorushwa Hiroshima na Nagasaki.

Mripuko??? Mlipuko wewe bibi kizee, mganga hajigangi
 
Mripuko??? Mlipuko wewe bibi kizee, mganga hajigangi
Umekosea kijana, neno mripuko chanzo chake ni neno la Kingereza "rip". Kama vile chanzo cha neno gari ni motor car, Waswahili hatukuiondoa r wenye gari.

Kwanini nyinyi ambao lugha mama kwenu siyo mbadilishe?
 
Back
Top Bottom