FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 35,841
- 40,431
Nilitaka kujua hali ya kiusalama kwa mtu atakayekuwapo ndani ya Tanzania endapo bomu la nuklia litarushwa na kwenda kulipukia lets say Washington DC, au labda London, au perhaps Beijing au pengine Moscow, or even Caracas, mionzi inaweza ikatufikia hadi huku Dar?
================================
Update: 18/02/2018
Dunia nzima itaangamia
================================
Update: 18/02/2018
Dunia nzima itaangamia