Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,375
- 14,870
Mfano kama N.Korea asingekuwa anamiliki Nuclear Bomb, N.Korea ingekuwa kama Iraq mda huu!
Kama Pakistan asingekuwa na nuke India hadi mda huu angesha mzibua kitambo Pakistan
Libya ingekuwa na Nuke mda huu ingekuwa peace hadi mda huu...
That's a time-bomb, mkuu. Maana yake ni kwamba wakati wowote vita inaweza kuripuka kama si leo ni kesho. Ndiyo maana inaitwa "unpredictable time-bomb", watu wanalala kwa hofu na mashaka wasijue what comes tomorrow.
Lakini leo tunajua what happened in Libya, Afghanistan, etc. na watu huko leo wanaendelea na maisha jinsi yalivyo japo ni ya dhiki.
Maana yake ni kwamba ukiwa na unexploded time bomb na ready exploded bomb, maisha ni yenye faraja kuliko kule ambapo bomb linakuwa halijalipuka.