ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,158
- 49,320
- Thread starter
- #21
Wewe kinachokufurahisha ni kipi nikuandikie?Inasikitisha sana
Wewe kinachokufurahisha ni kipi nikuandikie?Inasikitisha sana
Una maoni mazuri.Umesema kila ukitaka kuwa karibu naye anajiweka mbali, lakini wewe ukijiweka mbali anakuchukulia vibaya
Mimi naona hapo kwanza kuna kutoelewana kati yenu
Inawezekana wakati mkiwa pamoja anahisi humwelewi au hamko kwenye mitazamo sawa hivyo anaamua kujiweka mbali ili kuepuka malumbano, migogoro au mambo yasiyompa utulivu
Anaporudi, pengine huwa na matumaini kwamba hali imekwisha kuwa shwari na mnaweza kuendelea vizuri
Lakini badala ya kumpokea kawaida, na wewe unaamua kuonyesha umbali au kulipiza kwa kile alichofanya yeye mwanzo
Hapo ndipo inapoonekana kama mmeanza mashindano ya nani amuumize mwenzake zaidi au nani aonyeshe ego kubwa kuliko mwenzake
Kwa hiyo, kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si umbali wenyewe bali ni kutoelewana na kutowasiliana vizuri kuhusu kile ambacho kila mmoja anahitaji au anatarajia kutoka kwa mwenzake
Ni kama wote hamjui mnachotaka
Nimejaribu kujibu kwa mtazamo binafsi
Shukrani kaka karibu😊Una maoni mazuri.
Nitayafanyia kazi
Asante
Shukrani kaka karibu😊
Hata h inasikitisha sanaWewe kinachokufurahisha ni kipi nikuandikie?
I feel like am seeing a puppy 🐶 nikazoom kuona a baby girl. Haina shida yoyote ni impression tuIna shida gani kwani kijana🤔
Wakati fulani binadamu tunajisahau sana tunakuwa na mwbembwe nyingi kwasababu ya kuwa katika afya njema.Kutunishiana misuli sana haijakaa poa✅️
😅😅😅 poleI feel like am seeing a puppy 🐶 nikazoom kuona a baby girl. Haina shida yoyote ni impression tu
Afya nayo inalevya sanaWakati fulani binadamu tunajisahau sana tunakuwa na mwbembwe nyingi kwasababu ya kuwa katika afya njema.
Ukiwaza yote ni ubatiliUkitembelea wagonjwa hospital ukaona namna watu wanaosumbuliwa na maradhi tofauti tofauti wanavyohangaika kunayo namna unawaza juu ya maisha ya mwanadamu unaona haina maana kbs kuishi kwa visasi, chuki, kinyongo, majivuno , dharau, jeuri, kiburi, majigambo, tambo na mbwembwe.
Dunia tunapita
Huwa nawaambia watu siku zote mambo mawili tu ya halali duniani ni kuzaliwa na kifo, mengine yote ni ubatiliAfya nayo inalevya sana
Ukiwaza yote ni ubatili
Upendo unaware
Dunia tunapita
Sasa uhalali wa kufa na kuzaliwa unatoka wapi sasa 😅😅Huwa nawaambia watu siku zote mambo mawili tu ya halali duniani ni kuzaliwa na kifo, mengine yote ni ubatili