Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,410
Kipindi nakuumba Kuna nyama Za ubongo nlisahau kuwekaHuwezi kuielewa , Tatizo lako amekuambia huyo uliyemfanya mungu
, View attachment 1865260 View attachment 1865261

Waraq ndio alikuwa anamtungia Muhammad Koran kwa ku copy biblia maana ndio alikuwa ameanza ku translate biblia kwa kiharabu, na Kuna tetesi huyu jamaa ndio baba mzazi wa Muhammad , maana baba anaedaiwa alikufa miaka 4 kabla ya mimba ya Muhammad , huyu mtu alikuwa anasiri kubwa Sana ndio maana alipokufa Muhammad akataka kujiua maana alikuwa hapati koran tena kutoka kwa waraq baadae akajiongeza akatafuta mkristo mwingine akawa anamuandikiaMjomba wake tena Mkristo ndiye anampa Utume baba kasimu[emoji13][emoji13][emoji13]
hadi allah anashuhudia wanavyo peana fursa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116]
مَّا أَصَابَكَ مِنْ حَسَنَةٍ فَمِنَ اللَّهِ ۖ وَمَا أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٍ فَمِن نَّفْسِكَ ۚ وَأَرْسَلْنَاكَ لِلنَّاسِ رَسُولًا ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا
[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.View attachment 1865473
Kipindi nakuumba Kuna nyama Za ubongo nlisahau kuw
Kipindi nakuumba Kuna nyama Za ubongo nlisahau kuweka

Kumbe ww bado zwazwa hadi Leo hujui hiyo shughuli kaianzisha allah??
[emoji116][emoji116]
وَكَذَٰلِكَ جَعَلْنَا لِكُلِّ نَبِيٍّ عَدُوًّا شَيَاطِينَ الْإِنسِ وَالْجِنِّ يُوحِي بَعْضُهُمْ إِلَىٰ بَعْضٍ زُخْرُفَ الْقَوْلِ غُرُورًا ۚ وَلَوْ شَاءَ رَبُّكَ مَا فَعَلُوهُ ۖ فَذَرْهُمْ وَمَا يَفْتَرُونَ
[ AL - AN-A'AM - 112 ]
Na kadhaalika tumemfanyia kila Nabii maadui mashet'ani wa kiwatu, na kijini, wakifundishana wao kwa wao maneno ya kupamba-pamba, kwa udanganyifu. Na angeli penda Mola wako Mlezi wasingeli fanya hayo. Basi waache na wanayo yazua.
Kipindi nakuumba Kuna nyama Za ubongo nlisahau kuweka
Duuh [emoji23][emoji23][emoji23]Waraq ndio alikuwa anamtungia Muhammad Koran kwa ku copy biblia maana ndio alikuwa ameanza ku translate biblia kwa kiharabu, na Kuna tetesi huyu jamaa ndio baba mzazi wa Muhammad , maana baba anaedaiwa alikufa miaka 4 kabla ya mimba ya Muhammad , huyu mtu alikuwa anasiri kubwa Sana ndio maana alipokufa Muhammad akataka kujiua maana alikuwa hapati koran tena kutoka kwa waraq baadae akajiongeza akatafuta mkristo mwingine akawa anamuandikia
كتاب بدء الوحى Revelation
Sikio la kufa Halina dawa![emoji24][emoji24][emoji24]Hivi hayo uliyoleta ni maneno ya nani vile ????
HAYA HAPA CHINI NI KAMA MNAVYOSEMA NI MANENO YA MUNGU , SOMA KWA FURAHA
View attachment 1867091
Sikio la kufa Halina dawa![emoji24][emoji24][emoji24]
كتاب بدء الوحى RevelationKumbe masikio yako ni ya kufa ?
Wenzako wamesikia Wasikilize
كتاب بدء الوحى Revelation
(2)Chapter: (2)باب
Sahih al-Bukhari 2
Narrated 'Aisha:
(the mother of the faithful believers) Al-Harith bin Hisham asked Allah's Messenger (ﷺ) "O Allah's Messenger (ﷺ)! How is the Divine Inspiration revealed to you?" Allah's Messenger (ﷺ) replied, "Sometimes it is (revealed) like the ringing of a bell, this form of Inspiration is the hardest of all and then this state passes off after I have grasped what is inspired. Sometimes the Angel comes in the form of a man and talks to me and I grasp whatever he says." 'Aisha added: Verily I saw the Prophet (ﷺ) being inspired divinely on a very cold day and noticed the sweat dropping from his forehead (as the Inspiration was over).
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ يُوسُفَ، قَالَ أَخْبَرَنَا مَالِكٌ، عَنْ هِشَامِ بْنِ عُرْوَةَ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ أُمِّ الْمُؤْمِنِينَ ـ رضى الله عنها ـ أَنَّ الْحَارِثَ بْنَ هِشَامٍ ـ رضى الله عنه ـ سَأَلَ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فَقَالَ يَا رَسُولَ اللَّهِ كَيْفَ يَأْتِيكَ الْوَحْىُ فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " أَحْيَانًا يَأْتِينِي مِثْلَ صَلْصَلَةِ الْجَرَسِ ـ وَهُوَ أَشَدُّهُ عَلَىَّ ـ فَيُفْصَمُ عَنِّي وَقَدْ وَعَيْتُ عَنْهُ مَا قَالَ، وَأَحْيَانًا يَتَمَثَّلُ لِيَ الْمَلَكُ رَجُلاً فَيُكَلِّمُنِي فَأَعِي مَا يَقُولُ ". قَالَتْ عَائِشَةُ رضى الله عنها وَلَقَدْ رَأَيْتُهُ يَنْزِلُ عَلَيْهِ الْوَحْىُ فِي الْيَوْمِ الشَّدِيدِ الْبَرْدِ، فَيَفْصِمُ عَنْهُ وَإِنَّ جَبِينَهُ لَيَتَفَصَّدُ عَرَقًا.
Reference : Sahih al-Bukhari 2
In-book reference : Book 1, Hadith 2
Kumbe Mafunuo aliyo kuwa anayapata ni kutoka shetani!
Ushahidi kaleta mwenyewe bb kasim
[emoji116][emoji116]
Sahih Muslim 2114
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
The bell is the musical instrument of the Satan.
وَحَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ أَيُّوبَ، وَقُتَيْبَةُ، وَابْنُ، حُجْرٍ قَالُوا حَدَّثَنَا إِسْمَاعِيلُ، - يَعْنُونَ ابْنَ جَعْفَرٍ - عَنِ الْعَلاَءِ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ " الْجَرَسُ مَزَامِيرُ الشَّيْطَانِ " .
Reference : Sahih Muslim 2114
In-book reference : Book 37, Hadith 159
Sahih Muslim 2114
qaraa nayo imekazia
[emoji116][emoji116]
Haya mafunuo aliyo watupia muhamad toka adui wa jibril na kuwatupia na kulazazimishwa kukariri kwa bakora za makalio imewapakua ubongo wenu woote na kuwa misukule [emoji15][emoji2301]
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
لَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ 97
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha
Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Kama unabisha hufuati ilimu ya ADUI WA JIBRIL Tuwekee Andiko humu muhammad Alipo pewa utume kama alivyo pewa Musa

فَلَمَّا أَتَاهَا نُودِيَ يَا مُوسَىٰ ( 11 )
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى ( 12 )
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
وَأَنَا اخْتَرْتُكَ فَاسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰ ( 13 )
Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.
Hata Allah anakataa hakumpa utume ilaha alikuwa anashuhudia wanavyo peana utume
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
مَّا أَصَابَكَ مِنْ حَسَنَةٍ فَمِنَ اللَّهِ ۖ وَمَا أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٍ فَمِن نَّفْسِكَ ۚ وَأَرْسَلْنَاكَ لِلنَّاسِ رَسُولًا ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا
[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
Kama alivyo hukumia mola wako ww ni finnar jehannam halidina fiha Abadan [emoji24][emoji2956][emoji2956]

Bismillaah ir rahmaan ir raheem
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا كَانَ عَلَى رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا ﴿٧١﴾
19 / Maryam-71: Va katika minkum illea veariduhea, keana aalea raabbika haatman maakdıyyea (maakdıyyan).
* Na hakuna hata mmoja wenu ila atafika Motoni Hii ni amri kamili aliyo hukumia Mola wako Mlezi.
[emoji115][emoji116][emoji115][emoji116][emoji115][emoji116]
Haya Hayakuandikwa na Mkristo au Adui wa muhammad ilaha na Vipenzi vyake! [emoji24][emoji24][emoji24]

Sina muda huo wa kupiga chabo youtube haswa siku ya Leo!TOA HAYO MATAKA TAKA MASIKIONI UPATE KUSIKIA HII
Zitto hii inaonyesha wazi kwamba you are spiritually empty,that is you do not have the Holy Spirit.The Bible says clearly that if you do not have the Holy Spirit,you are not His.UTANGULIZI
Historia ya Biblia ya kikristo ni ndefu jinsi vitabu vilivyopatikana lakini ntaandika kwa kifupi sana na mengine tutaandaika tunavyozidi kuchangia kwenye uzi huu. Na pia nitoe rai mapema kuwa uzi huu sio wa kidini bali wa kielimu/historia hivyo sitegemei watu kurushiana matusi ya kuhusu dini sijui Mungu yupo au hayupo!! N.k
View attachment 993939
Prologue
Biblia ya kikristo ni mjumuiko wa vitabu mbalimbali vya manabii/Mitume wa Mungu ambao vimejumuishwa pamoja ili kutoa muongozo wa kiimani kwa wakristo kote ulimwenguni. Biblia inatambulika kama iliandikwa na vitabu kujumuishwa kwa uweza wa MUNGU hivyo ni kitabu kitakatifu, lakini kilichonishtua ni kugundua kwamba kati ya wakristo wanatumia Biblia tofauti kabisa yaani Wakatoliki Biblia yao ina vitabu 73, waprotestant vitabu 66, Orthodox Tawahedo (Ethiopia) ina vitabu 81 hili limenifanya nifungue uzi ili tumalize mkanganyiko huu na naomba tusome taratibu na kwakuelewa mada inazungumzia nini kabla ya kuchangia kwa kuongozwa na ushabiki au mihemko.
Historia
Wayahudi (Israel) walikuwa wanaandika maandiko wanayovuviwa na Mungu wao Yahweh tokea miaka 600 kabla ya Yesu na walikuwa na fixed canon ya vitabu 24 (39 ukivigawa) mpaka kipindi cha nabii wa mwisho Malachi 400 BC hivyo inasemekana ndio vitabu pekee vilivyokuwepo. kufikia karne ya 4 kabla ya kristo (KK) wayahudi waliokuwa uhamishoni hasa misri walitafsiri vitabu vya agano la kale vilivyoandikwa kiebrania kwenda kigiriki na kuzaa Biblia iliofahamika kama ''Septuagint''.... Biblia hii ilipata ushawishi sana kuliko ya kiebrania na ieleweke kwamba ni Biblia hii ndio imetumika mpaka na Yesu alipokuwa akinakili maandiko ya agano la kale kiufupi 70% ya quotes kutoka agano la kale kwenye vitabu vya Agano jipya vimetolewa kwenye Greek Septuagint. Kufikia hapa kukawepo na Biblia mbili kuu hivyo twende pamoja.
View attachment 993940
Mgogoro
Ikumbukwe Septuagint ilijumuisha vitabu vya kimafundisho ambavyo Hebrew bible haikuvitambua vitabu hivi vinajumuisha Macabees, Sirach,Wisdom of solomon n.k. Sasa ikafika mahali Septuagint (kigiriki) ikawa inatumika zaidi kuliko maandiko ya kiebrania (wayahudi) hivyo kwa mujibu wa mwanahistoria Heinrich Graetz ikabidi kikundi cha wayahudi kikutane kwa kilichoitwa council of Jamnia kilichofanyika 70 Baada ya kristo ambapo ndio kiliweka msimamo wa vitabu gani vya biblia ya kiebrania ndio vitambulike kwa wayahudi wote yote hii ili kuzuia upepo wa Biblia ya Greek sepruagint na hivyo hapa wakawa na msimamo wa vitabu vichache hasa vya agano la kale 39 tofauti na 46 vya septuagint. Hivyo tokea hapa madhehebu tofauti ya kikristo yakachukua Biblia mojawapo ya pande hizi mfano RC wao waliendelea na Greek Septuagint ambayo ndio ilitumiwa na mitume ila waprotestant wao waliamua kuendelea na Hebrew Bible wakiamini ndio halali na haijachakachuliwa pia madhehebu mengine kma Tawahedo Orthodox na mengineo yalikuwa na misimamo yao juu ya vitabu fulani hivyo utakuta baadhi ya makanisa yana vitabu kati ya hivyo 39 hadi 46 vya agano la kale.
Martin Luther
Karne ya 16 kiongozi wa wanamabadiliko/protestants walioamua kujitenga na ukatoliki Dr. Martin Luther naye aliamua kufanya tafsiri ya Biblia kwenda lugha ya kijerumani. Kiliandikwa 1520-34 na katika kuifanyia majumuisho naye alitaka kupunguza vitabu 7 vya agano jipya vikiwemo Ufunuo,Yuda,Waebrania na Yakobo n.k kwa kile alichokiita kwamba "havikuwa na uvuvio wa Roho mtakatifu" na hata leo hii kwenye Luther bible cha waprotestant hivyo vitabu 4 vimewekwa vya mwisho kabisa katika biblia yao na nakala za mwanzoni viliwekwa kundi moja na vitabh vilivyoitwa ''apocrypha''.
Pia luther alikipinga vikali kitabu cha esther nakutaka kifutwe kutoka kwa Biblia. Alisema hakina uvuvio wa Roho mtakatifu maana hakuna mahala kinamtaja MUNGU!! Martin luther alipinga pia uwepo wa kitabu cha James/Yakobo kwenye Biblia sabau kwanza kiliandikwa karne ya 2 ambapo muandishi wanayedai ni Yakobo kaka yake yesu alishakuwa amekufa toka mwaka 67 BK hivyo aliona kma ni kilifojiwa tu.
View attachment 993938
HITIMISHO
Sasa baada ya kuwa nimepitia baadhi ya hoja za wana JF humu hasa zinazogusa maslahi ya kikristo huwa wana conclude kuwa Biblia haina makosa maana ilivuviwa na Roho mtakatifu sasa nilikuwa nataka wajuzi mnisaidia maswali yafuatayo
1. Je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?
2. Je Biblia gani ni halali
3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??
4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia
5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.
Naomba kuwasilisha
Reference ya haya uliyoyaandika iko wapi?UTANGULIZI

Mungu hahangaiki na makosa kwanza na Mungu hakosei.UTANGULIZI

Biblia ina historia ndefu sana. kwa mtumiaji wa kawaida inabidi tu aiache kama ilivyo na aamini kilichopo.
Maandiko ya kale yaliandikwa na wafuasi wa musa, amabavyo ndiyo vitabu vitano vya kwanza vya biblia, vinaitwa PENTATUCH. hivi ni vitabu vya mwanzo, kutoka, walawi, hesabu na kumbukumbu la torati.
Baadae walikuja manabii kama vile isaya, Amosi n.k. Inasadikiwa Amosi ndio kitabu kikongwe kabisa miongoni mwa vitabu vya manabii. sitaki kuandika kuhusu mgawanyiko wa vitabu vya biblia maana si mada husika hapa.
Biblia ilikuja kutafsiriwa kwenda kigiriki, kama mleta mada alivyopambanua. Hapa mkanganyiko ndio ulipoanzia. Walikuwepo watafsiri wengi na kwa awamu mbalimbali waliotafsiri biblia kutoka kiebrania hadi kigiriki. Ikumbukwe kuwa Tafsiri zingine zote za biblia zilitafsiriwa kutoka machapisho (tafsiri) ya kigiriki.
katika kutafsiri maandiko kwenda kigiriki, wapo waliotafsiri wakiwa mashariki ya kati (samahani mji nimeusahau) na wapo waliotafsiri wakiwa katika mji wa Alexandria- Misri. Hapa ndipo kulipotokea mkanganyiko wa vitabu vya biblia kutofautiana katika tafsiri. Mfano wayahweist (YAHWEST) wana tafsiri yao na wapo wengine (da, ukilaza wangu umesababisha nisahau majina ya watafsiri wengine, mtanisamehe) wana tafsiri tofauti. Hadi leo ukiangalia vitabu vya biblia vina tafsiri mbalimbali, mfano kitabu cha mwanzo katika biblia ya KING JAMES VERSION ni tofauti na kitabu cha mwanzo katika biblia zingine. Kiuhalisia hizi ni tafsiri tu, si aina za biblia, kulingana na origin ya watafsiri.
sasa basi, baada ya utawala wa RUMI kushiaka hatamu, watawala wa kipindi hicho walikuwa na mamlaka makubwa ya kuchagua tafsiri na vitabu vya kutumia. Kuna vitabu vingi sana ambavyo vimetelekezwa au kuachwa kwa sababu ya matakwa ya watawala. mfano mdogo na hai ni vitabu vya deutorokanoni (kanuni ya pili) vinavyotumika na madhehebu ya kikatoliki duniani kote lakini havitumiki na madhehebu mengine.
Hebu nijaribu kujibu maswali ya mleta hoja japo kidogo...
1.je kauli hii inapotolewa huwa ina maana ya Biblia ipi ambayo ilivuviwa na Roho?
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali, vipo vya manabii, vya historia, injili, barua za mitume n.k. Ukiachilia mbali tafsiri mbalimbali za biblia, kiujumla biblia ni moja. tofauti iliyomo katika tafsiri haiondoi uhalisia wa biblia. Pia vitabu vingine kutotumika na madhehebu mengine, pamoja na ukweli kwamba kuna vitabu vingine vimepotea kabisa (vingine inasadikiwa vimefichwa na ROMA) bado msingi wa biblia unabaki pale pale.
vitabu visivyokuwa maarufu au vilivyopotea (mfano vitabu vya matendo ya YESU na mataendo ya PETRO) au vinavyotumiwa na baadhi ya madhehebu (mfano vitabu vya sira, wamakabayo, Thobiti, n.k) havina misingi mikubwa ya kiimani au kiroho, zaidi vinasaidia kufundisha historia ya wahusika au matukio flani. mfano kuna kitabu kinaeleza namna yesu alivyokua, yaani matendo yake akiwa kijana. Kinasema mengi kama vile jinsi mama yake yesu (mariam) alivyokuwa akitembea na yesu sehemu mbalimbale wakitenda miujiza na kuponya watu. Pia kitabu cha matendo ya petro kinatoa hadithi moja inayosema petro alikuwa na mtoto mlemavu lakini petro mwenyewe alikataa katakata kumponya... kitafute ukisome mwenyewe utafurahia hadithi hizi.
kwa kifupi, vitabu vya kiroho ni vile vya musa (pentatuch) na vya manabii. vingine ni vya Ayubu, methali, maombolezo n.k na vitabu vinne vya injili. Kuna barua za mtume paul pia vinasaidia kirao, bila kusahau kitabu cha waebrania.
2. Je Biblia gani ni halali
Biblia halali ni ile inayozingatia tafsiri halali, bila kujali ni nani alitafsiri au ilitafsiriwa wapi na lini. Kwa maana nyingine hakuna biblia haramu. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu rasmi vilivyotokana na tafsiri rasmi.
3. Manabii wanasema usiongeze au kupunguza neno kwenye Vitabu vyao sasa Je kama mmoja ndio yupo sahihi ina maana wengi wamepotoshwa??
Ukiachana na kitabu cha ufunuo, ambacho mwandishi wake anajiita Yohane na kilichoandikwa katika kisiwa cha kupro, hakuna kitabu kingine kinachozungumzia kuongeza ua kuongeza neno. Kinachoepukwa ni kupotosha au kotoa tafsiri isiyo sahihi. Biblia imetoa wigo mkubwa kwa watafsiri, si kama Quran ambayo imekataza kabisa mchezo wowote wa kuchezea maandishi yake.
Katika tafsiri za biblia, hakuna atakaesema yuko sahihi au hayuko sahihi. Kimsimngi maana haijapotoshwa, isipokuwa watumiaji ndo hupotosha maana kutokana na imani zao au namna ya kutafsiri maandiko hayo.
4. Na kama wamepotoshwa je nini hatma ya ukristo kama wahuni wachache wanaweza ongeza maneno au kupunguza kwenye Biblia
5. Swali la mwisho naamini MUNGU anaona haya makosa Je ina maana karuhusu neno lake lipotoshwe?? Na kama sio kwanini mpaka sasa kaacha wahuni wachezee NENO lake.
Kwa maelezo hayo bila shaka hakuba haja ya kujibu maswali namba nne na tano.
cc zitto junior