Je, Biblia inasema nini kuhusu chakula?

Je, Biblia inasema nini kuhusu chakula?

Na article hii pia:
hermeneutics.stackexchange.com/questions/25242/in-acts-10-why-does-peter-not-already-know-that-he-can-eat-foods-previously-reg
 
Na article hii pia:
hermeneutics.stackexchange.com/questions/25242/in-acts-10-why-does-peter-not-already-know-that-he-can-eat-foods-previously-reg
Yesu alikuwa akijibu takwa la Mafarisayo kunawa mikono kabla ya kula. Haina uhusiano kabisa na nyama najisi au safi. Sheria ya Mungu ya agano la kale kuhusu wanyama najisi IKO PALE PALE!
 
M
Yesu alikuwa akijibu takwa la Mafarisayo kunawa mikono kabla ya kula. Haina uhusiano kabisa na nyama najisi au safi. Sheria ya Mungu ya agano la kale kuhusu wanyama najisi IKO PALE PALE!
Mtume Petro mwenyewe aliyeyasikia mafundisho ya Yesu na kumuomba ufafanuzi, miaka karibu kumi baada ya Yesu kuondoka duniani anasema hajawahi kula nyama iliyo najisi,
Matendo 10:14. Kama we we no mkristo na unashabikia hayo mambo Fanya kwa hasara yako mwenyewe. Mimi wala so msabato ila nafuata biblia inachofundisha.
Leta kitimoto kiloooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona unajaribu kujenga hoja kwa kuangalia tu nyaraka za paulo, vipi kuhusu Yesu kwenye marko 7 : 18-22? hapo unasemaje. alivitakasa si tu vyakula bali na vinywaji. #si kimuingiacho mtu bali kimtokacho ndicho kinacompa mtu unajisi# biblia ipo wide mkuu usijaribu ukiitafsiri ukiwa closed minded but try to be opene minded.
Naomba unisaidie kidogo Ndugu.

Andiko linasema ""si kila kimuingiacho mtu humtia unajisi bali kitokacho"".

Kati ya vyakula unavyokula, ni chakula kipi kikuingiacho. Namaanisha kwenye lugha ya kiswahili neno kuingia ni kama vile: ;
Mtu kuingia kwenye nyumba.
Abiria kuingia kwenye gari.
Nyoka kuingia shimoni nk.

Tukirudi kwenye vyakula sidhani kama vinatuingia. Msaada tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom