cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,872
Asante Bwana Mtu wa Mungu.Mwenzako ametoa na maandiko ya bibilia wewe unaleta story zako za Facebook punguwan wahed
Asante Bwana Mtu wa Mungu.Mwenzako ametoa na maandiko ya bibilia wewe unaleta story zako za Facebook punguwan wahed
Uko sahihi mkuu,ni ruksa kula cho chote kwa mwenye imani, ila uhuru huo usiwakwaze wenye imani dhaifu.Kwa hiyo kama kwa mfano unaona ukila Nguruwe ndugu yako atakwazika ni bora kuacha.Biblia imeweka wazi kwamba ni dhambi kula kitu kama unajua kwamba kwa kufanya hivyo ndugu yako atakwazika(1Wak.8:9-13.).Biblia pia inakataza kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa idols(miungu ya uongo),mashetani na damu(Mat.15:29).Swala la kula damu linawahusu sana ndugu zetu Wachaga na Wamasai.HAKUNA CHAKULA NAJISI.
Warumi 14:2,14,20
2 Mtu mmoja anayo imani, anakula vyote; lakini yeye aliye dhaifu hula mboga.
14 Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake, lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi.
20 Kwa ajili ya chakula usiiharibu kazi ya Mungu. Kweli, vyote ni safi; bali ni vibaya kwa mtu alaye na kujikwaza.
Marko 7:18-19
18 Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi;
19 kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.
Wakolosai 2:16
16 Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato;
Waebrania 13:9
9 Msipeperushwe huku na huku kwa mafundisho tofauti ya kigeni. Neema ya Mungu ndiyo inayoimarisha roho zetu na wala si masharti juu ya chakula; Masharti hayo kamwe hayakumsaidia mtu yeyote aliyeyafuata.
WEWE BIBLIA HAISOMWI KWA KUDOKOA VIFUNGU, NGOJA NIKUULIZE, JE MUNGU HUJIPINGA AU NYINYI KWA ULAFI WENU HUPOTOSHA VIFUNGU?Me Nahic We Unaongelea Kisabato Huongelei Kibiblia Hayo Maelezo Ya Paulo Kujibu Hoja Za Watu Waliokuwa Wana Muuliza Umeyatoa Wapi ,pili Kama Zilikua Zinajibu Hoja Za Wengine Kwa Nn Ziliwekwa Kwenye Biblia Tukapewa Cc Wakati Hazituhusu Na Kama Hazituhusu Ni Nyalaka Zote Za Paulo Au Baadhi Ya Mistari Ndo Haituhusu?
WEWE BIBLIA HAISOMWI KWA KUDOKOA VIFUNGU, NGOJA NIKUULIZE, JE MUNGU HUJIPINGA AU NYINYI KWA ULAFI WENU HUPOTOSHA VIFUNGU?
INAKUWAJE HAPA MUNGU HUYO HUYO YESU, AAPE KUWAPOTEZA WOTE WALA NGURUWE NA PANYA ,HALAFU NAADAE ATUHUSU TENA MLE PANYA?
ISAYA 66
15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.
16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.
17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.
18 Nami nayajua matendo yao na mawazo yao; wakati unakuja nitakapokusanya mataifa yote na lugha zote; nao watakuja, nao watauona utukufu wangu
HAPO UTAGUNDUA SHIDA IPO KWENU SABABU YA ULAFI HIVO HUPELEKEA MPOTOSHE VIFUNGU VYA BIBLIA
SOMA AYA YA 17 NDIO UTAONA UHUSIHANOhapo kwenye red kuna uhusiano gani na maandiko uliyoyaandika hapa?
Uwiii umenikumbusha lile rojo la ndani ya mfupa wa kuchoma wa kitimoto, linanyonywa na ulimi atiiiii.....au unalivuta na kidole?Madame B lini twende Rudis Farm tukale Kitimoto chops and ribs chakaza?
Jipange niko kwenye Xmas mode tayariUwiii umenikumbusha lile rojo la ndani ya mfupa wa kuchoma wa kitimoto, linanyonywa na ulimi atiiiii.....au unalivuta na kidole?
Yaani natamani kama Jumamosi hii...sema nene, badae naenda kontena.
Ka vepe...ntakustua
I love you!!!Jipange niko kwenye Xmas mode tayari
Matayo 15:10HAKUNA CHAKULA NAJISI.
Warumi 14:2,14,20
2 Mtu mmoja anayo imani, anakula vyote; lakini yeye aliye dhaifu hula mboga.
14 Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najisi kwa asili yake, lakini kwake yeye akionaye kitu kuwa najisi, kwake huyo kitu kile ni najisi.
20 Kwa ajili ya chakula usiiharibu kazi ya Mungu. Kweli, vyote ni safi; bali ni vibaya kwa mtu alaye na kujikwaza.
Marko 7:18-19
18 Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi;
19 kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.
Wakolosai 2:16
16 Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato;
Waebrania 13:9
9 Msipeperushwe huku na huku kwa mafundisho tofauti ya kigeni. Neema ya Mungu ndiyo inayoimarisha roho zetu na wala si masharti juu ya chakula; Masharti hayo kamwe hayakumsaidia mtu yeyote aliyeyafuata.
Matayo 15:10Kwa hiyo Mungu akisema kuwa kuna vyakula najisi anaweza kusema tena kuwa hakuna Vyakula najisi mungu huyo wa hivyo anajichanganya sana.
Katika kitabu hicho ni vitu vingapi vimeorotheshwa ni nàjisi; je unavifata au kitimoto tuWalawi :11
Katika kitabu hicho ni vitu vingapi vimeorotheshwa ni nàjisi; je unavifata au kitimoto tu
MUNGU hajichanganyi, bila wewe ndo unajichanganya. Lazima ujue Amri juu ya Vyakula ilitolewa kipindi gani na kwanini ???. Hakuna chakula najisi, wewe ukiona mjusi anapanda mbanike na mkamue taratiiibu.Kwa hiyo Mungu akisema kuwa kuna vyakula najisi anaweza kusema tena kuwa hakuna Vyakula najisi mungu huyo wa hivyo anajichanganya sana.
Wewe unatudanganya kwa kujifanya Unajua Biblia kumbe hakuna lolote, WASABATO bhana !!!, Kwa kujifanya ujuaji. Hamna kitu hapo. Kitimoto ni mboga km mboga zingine.ACHA KUTAFSIRI BIBLIA KIHOLELA HIVO, TABIA HII IMEPELEKEA MADHEHEBU MENGI NA UTITIRI WA MANABII NA MITUME WASIOHESABIKA HAPA DAR ,ACHANA NA WALE WA MIKOANI,
Biblia haikurupukiwi hivo, HASA MAANDIKO YA MTUME PAULO
Ikumbukwe kuwa vitabu vya Paulo viliandikwa kama barua na wakati mwingine ilikuwa ni katika kujibu hoja ambazo zilileta mkanganyiko kwa waumini maana Paulo alikuwa akihubiri na kisha kuondoka mahali hapo asirudi tena. Hivyo kama kulikuwa na jambo lolote lililohitaji ufafanuzi basi walimwandikia Paulo naye aliwaandikia kuwajibu ambapo nyaraka zake zilikusanywa na kuwekwa pamoja na leo tunazisoma kama maandiko yaliyovuviwa. Kwa bahati mbaya nyaraka zile ambazo waumini walimtumia Paulo hatunazo hivyo wakati mwingine inakuwa vigumu kujua ni kitu gani kilipelekea mitume kujibu hivyo walivyojibu.
Wengi kati ya wakristo wa awali ambao Paulo alikuwa akiwaandikia barua walikuwa ni wapagani waongofu na hivyo waliishi katika jamii ya kipagani, na sehemu kubwa ya jamii iliyowazunguka walikuwa ni wapagani.
Katika kipindi hicho kulikuwa na utaratibu kwamba nyama yoyote kabla ya kuuzwa ilikuwa sharti itolewe sadaka kwa sanamu. Jambo hili liliwapa shida kidogo baadhi ya wakristo kwamba huenda Mungu akawahesabia dhambi kwa kula nyama iliyotolewa sadaka kwa sanamu.
Ndipo Paulo sasa anawajibu na kuwaambia kuwa sanamu haineni na wala siyo kitu na mwenye imani anajua kuwa sanamu si kitu chochote na hivyo hula nyama pasipo kujali kwamba imetolewa sadaka kwa sanamu au la. Lakini yule mwenye imani haba huwa na mashaka kwamba huenda ikawa ni dhambi na hivyo anaacha kula nyama na kuamua kula mboga.
Mahali pengine anaandika kwamba mkienda sokoni msiulize ulize na wala ndugu yenu akiwakaribisha kuleni bila kuuliza. Hakusema kwamba wasiulize ile nyama ni ya mnyama gani hasha! Alisema wasiulize kama hiyo nyama imetolewa sadaka kwa sanamu au la. Mwishoni anasema endapo kwa yeye kula nyama ( iliyotolewa sadaka kwa sanamu ) kutamkwaza nduguye basi hatakula nyama ili asije akamkwaza ndugu yake ambaye Yesu Kristo alimwaga damu pale mslabani kwa ajiliya wokvu wake.
Bado tunaona kwamba tatizo hapo halikuwa juu ya wanyama najisi bali lilikuwa juu ya nyama iliyotolewa sadaka kwa sanamu.
Jambo hili la vyakula safi na najisi lilikuwa linaeleweka vizuri miongoni mwa wakristo wa kipindi hicho, ndiyo maana huoni Biblia ikiliongelea. Katika mafungu yote hapo juu tumeona kuwa hakukuwa na shida yoyote juu ya wanyama najisi na wasio najisi.
Basi tuendelee kugonga kitimotoKwa upande wangu na imani yangu kitimoto yenyewe nakula sababu vitu vilivyoorezeshwa naviona mtaani vinaliwa mbaya ila kwa vile ss tulishaambiwa kinachomtia mtu najisi n kile kinachomtoka kinywani mwake na wala si kiingiacho hiyo ni kwa upande wa imani yangu
Hapa tutabishana sana kwa vifungu vya biblia, wengine km kawaida wanapenda sana kuponda au kutaka kuonyesha kuwa biblia ina makosa flani yaani inajichanganya ilhali aonyeshe yeye dini yake ni sahihi na haina mapungufu.Uko sahihi mkuu,ni ruksa kula cho chote kwa mwenye imani, ila uhuru huo usiwakwaze wenye imani dhaifu.Kwa hiyo kama kwa mfano unaona ukila Nguruwe ndugu yako atakwazika ni bora kuacha.Biblia imeweka wazi kwamba ni dhambi kula kitu kama unajua kwamba kwa kufanya hivyo ndugu yako atakwazika(1Wak.8:9-13.).Biblia pia inakataza kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa idols(miungu ya uongo),mashetani na damu(Mat.15:29).Swala la kula damu linawahusu sana ndugu zetu Wachaga na Wamasai.
Huyo hamna kitu.Wewe unatudanganya kwa kujifanya Unajua Biblia kumbe hakuna lolote, WASABATO bhana !!!, Kwa kujifanya ujuaji. Hamna kitu hapo. Kitimoto ni mboga km mboga zingine.