nyocksie
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 408
- 267
Julai mosi, 2025 bajeti ya mwaka 2025/2026 ilipitishwa na Bunge letu; moja ya mambo yaliyopitiwa ni kuondole kwa ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) Kwenye gesi za kupikia (LPG); kusudi lilikua kuhamasisha matumizi ya gesi badala ya nishati kama kuni na mkaa, kama njia ya kupunguza uharibifu wa mazingira (ukataji miti).
Mpaka sasa mwezi umepita lakini Kwa eneo nilipo gesi haijapungua bei. Kwa eneo ulilopo Hali iko vipi? Kama gesi haijapungua bei, je! Wasimamizi wa nishati wanaochukua changizo zetu kupitia mafuta, maji na gesi yenyewe wanatuchukuliaje? Au bajeti ya nchi sio kitu serious kiasi hicho mpaka wafanya biashara wanadidishia mamlaka?