Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Kunakosa kubwa sana unalolifanya ktk kutafsiri hoja na mktada mzima.Sielewi cha kuchekesha hapo...facts haziwezi kuwa substituted na habari zinazotakiwa 'kuaminiwa'. Sjui kaa umensoma.
Sehemu gani ulipoona uongo? Kwa kigezo kipi ukabaini uongo?Huyu jamaa inaonekena ni muongo.
Kama hujaamini nilichokiandika toka india subiri ripoti ya ma dr kama ipo!
Huyu jamaa inaonekena ni muongo.
sumu imetolewa mamaa.isitoshe maombi ya wtz yamefika mbinguni....au wewe hukuomba wapone?si alitwambia hizi sumu zinzua pole pole ngoja tuendelee kusubiri
Pamoja na yote aliyoyaandika, lakini usisahau kuwa aliwataka watanzania kuwaombea hao viongoizi wetu, na kwa jinsi watanzania walivyo na imani za dini zao bila shaka walimuombea, na Mungu akasikia maombi yao na kuwaponya viongozi hao, sioni kama kuna nongwa hapo.
Au wewe huamini kwamba Mungu ana uwezo wa kuwaponya??
Kidini (UKRISTO) Imani ni nini?
Waebrania 11:1 inajibu Imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarijiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kidunia na haswa katika mada hii, kuwa na imani na mtu ni kuwa na utayari wa kuyakubali au kuyaafiki yale yote anayoyasema au kuyaandika huku ukiwa huna jinsi ya kuyathibitisha mpaka muda umetimia kuthibitisha aliyoyasema au kuyaandika.
Naomba kukosolewa!
Sina jukumu la 'kuamini'. Endelea kuhangaika na wanaotaka kuamini.
Kwa Mungu kila jambo lawezekana, hata wafu hufufuka. Bado nina imani naye@u ukitaka toa hoja makini na za kiuchambuzi na za kitaalam bila kusahau za kiimani kumpinga maana mambo yote yalihusika, utaalam na maombi kwa pamoja, hata hao wagonjwa walipotua nchini walisema hivi= Nawashukuru WaTanzania kwa maombi yenu na siyo kwa matibabu yenu. Uko hapo?
si alitwambia hizi sumu zinzua pole pole ngoja tuendelee kusubiri