Je, Bado Una Imani na Jason Bourne?

kumbe watu wanapenda sana series...., conspiracy theories....! Damn! Watu wanapenda skia wanachotaka kuskia..,
 
Sioni sababu ya kubishia ripoti yake, or-else J.B atakuwa na matatizo makubwa sana to go through all the troubles za India na kwenda kukutana na wauwaji kadhaa hili kutunga uongo kwa mtaji huo namuamini. Na kwa sababu watu hawajafa aina maana kajitungia, hila hapa inaonekana kila kitu kwetu ni uzembe Tz, maana inafikia mpaka wauwaji nao kuwa wavivu wa utekelezaji na mbinu zao apparently sio effective. We cheki dodi Al-fyed alovyowekewa mchezo ajali ya gari lakini amna kutoka au yule Russian spy.

Hila ingesaidia kwanini Mwandosya anataka kuuliwa, maana kulikuwa na thread nyingine inasema vingine sasa huyu mwandosya ni adui waserikali au yule jamaa mwenye tender ya visima asivyochimba. Halafu kuhusu mwakyembe tuwe wa kweli kwenye hile ajali ya gari binafsi nilivyoona picha la shimo aliloingia kwenye magazeti na speed ya over 100mph kwa kweli he is lucky to be alive na ule ni uzembe ni wa dereva kuwe na lori au kusiwe lori pembeni surely you're supposed to watch where you're going na kama kuna mizengwe ya gari lingine mbele si unapunguza speed kwanza au vipi.
 
Katika kifo au uhai wao ungependela kipi kuthibitisha imani yako?

Mimi kama mimi ninaupenda na kuuombea sana uhai wao na afya njema. Swali lako ni tata. Wote wanaodai kutabiri kifo pasipo kutabiri mazingira ya kifo na muda halisi ni waongo. Jambo ambalo kutokea kwake hakukwepeki katika maisha haliwezi kuwa la kutabiriwa. Labda nikuulize, katika siku, unaweza kutabiri jua kuzama?
 
Sioni sababu ya kubishia ripoti yake, or-else J.B atakuwa na matatizo makubwa sana to go through all the troubles za India na kwenda kukutana na wauwaji kadhaa hili kutunga uongo kwa mtaji huo namuamini. Na kwa sababu watu hawajafa aina maana kajitungia, hila hapa inaonekana kila kitu kwetu ni uzembe Tz, maana inafikia mpaka wauwaji nao kuwa wavivu wa utekelezaji na mbinu zao apparently sio effective. We cheki dodi Al-fyed alovyowekewa mchezo ajali ya gari lakini amna kutoka au yule Russian spy.

Hila ingesaidia kwanini Mwandosya anataka kuuliwa, maana kulikuwa na thread nyingine inasema vingine sasa huyu mwandosya ni adui waserikali au yule jamaa mwenye tender ya visima asivyochimba. Halafu kuhusu mwakyembe tuwe wa kweli kwenye hile ajali ya gari binafsi nilivyoona picha la shimo aliloingia kwenye magazeti na speed ya over 100mph kwa kweli he is lucky to be alive na ule ni uzembe ni wa dereva kuwe na lori au kusiwe lori pembeni surely you're supposed to watch where you're going na kama kuna mizengwe ya gari lingine mbele si unapunguza speed kwanza au vipi.

Si kila misheni ya kiusalama hufanikiwa ndugu, je ikiwa ile ripoti imesaidia kuchelewesha mauti yao?
 
ivi hamjiulizi kwa nn mwandosya alisema alikuwa anafuatilia yanayotokea tz. na kwenda mbali kuitaja jf?
 
Sielewi cha kuchekesha hapo...facts haziwezi kuwa substituted na habari zinazotakiwa 'kuaminiwa'. Sjui kaa umensoma.

Mimi napingana na wewe Abdulhalim kwa msimamo wako huo. JF ni jukwaa la kuelimishana na kupashana habari na si kuja kuoneshana nani anajua zaidi ya nani. JB amefanya uchunguzi wake akaja kutupasha habari. Ni jukumu letu sisi kama wanajukwaa kuzipokea taarifa hizo na kuzifanyia kazi. Kama tukigundua kuna walakini au kuna kuna taarifa tofauti, unakuja jukwaani na kuwapasha wana jamii ukweli ulionao juu ya mada iliyoletwa mara ya kwanza na mdau fulani,kisha watu wanajua ukweli wa mambo na kuelimika.

Lakini njia uliyoichukua wewe ya kuanza kupiga kelele bila taarifa mbadala, mimi nakuona kama vuvuzela tu. Umekuwa bingwa wa kubisha bila kutoa ukweli mbadala!

JB usikatishwe tamaa na watu wa aina hii. Hawa ndio wanaotupelekea kuwa masikini na ombaomba namba 1 ktk Africa na wa 3 duniani! Hawataki kuwa na fikra mbadala ila wanabisha tu ili mradi wamebisha!

Big-up JB!
 
Mim naamin na kama siamin.
Lakin naamin kuwa ugonjwa wa DR unauwalakin kidogo kwani kama hakulishwa sumu au hakuna mtu yoyote anayehusika na ugonjwa wake mbona mwenyewe amekuwa nakigugumizi kuelezea ukweli wa nin kilimsumbua na anaishia kusema kilicho msumbua ni siri yake na hata lipiza kisasi anamwachia mungu.Kauli zake mim ndio zina nipa uwalakin nakufanya niamin kuwa kuna siri ya ugonjwa wake nyuma ya pazia.
Hata kama siyo yale yaliyo zungumzwa na JB.
 
swala lipo wazi sana kwa mtu mwelewa
kwa sisi tuliosomea saikolojia tunaimani kuwa NENO LA KWANZA LA MSEMAJI NDILO LA KWELI YANAYOFUATA MBELE YAKE NI UDHIBITISHO TU

kwa maana hiyo kwa kuwa Dr alianza kwa kusema anamwachia mungu na hatalipitiza kisasi,moja kwa moja Ripoti ya Mdau wa Jf ipo sahihi
 
If the divine mission towards bringing Mwakyembe and Mwandosya into this world has not been accomplished then they will always survive regardless of the setbacks
 
Ni vigumu sana kuniamini lakini ni rahisi mno kunipinga!

Je ripoti ya madaktari pale india inasomekaje? Je mwakyembe mwenyewe anasemaje? Uhalisia wa hali yake kwa sasa ukoje? Wizara ya afya inasemaje? Serikali yake inasema? Je kila aliyelishwa sumu hufa hata akitibiwa na madaktari bingwa?

Mimi nishatoa ripoti na kwangu mimi itasimama kuwa ndio kauli na ukweli niliouona katika uchunguzi!

Mwenye ripoti ya madaktari wa india aiweke hapa!!
acha unafiki,uchonganishi,uzandiki na umbeya ww unapotosha watu kwa uchochezi na huo unaojifanya uchunguzi,mbona hueleweki mara unajifanya unafanya kazi TISS mara unadanganya upo DRC tukueleweje JB?
 
acha unafiki,uchonganishi,uzandiki na umbeya ww unapotosha watu kwa uchochezi na huo unaojifanya uchunguzi,mbona hueleweki mara unajifanya unafanya kazi TISS mara unadanganya upo DRC tukueleweje JB?

kwani TISS hawaendi DRC? tena majuzi kulikuwa na wakuu wetu kwenye uapishaji wa raisi na majeshi yetu ya usalama yalikuwa huk o wakati wa uchaguzi
 
acha unafiki,uchonganishi,uzandiki na umbeya ww unapotosha watu kwa uchochezi na huo unaojifanya uchunguzi,mbona hueleweki mara unajifanya unafanya kazi TISS mara unadanganya upo DRC tukueleweje JB?

mkuu umeenda nje ya mada, tafadha come back to the topc
 
Back
Top Bottom