NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,291
- 14,573
Hyo kazi
Kama vile umeongea point ya maanaZinduka ww hayo yote ni matokeo ya tabia zako ww hapo mwanzo umemtengenezea mitazamo tofauti na sasa ulikuwa unapritend vitabia sasa umerudi katika uhalisia wako cha kufanya jutiaa tu afu utakuwa umejifunza jinc ya kuishi naye
Unyimwa utamuHiyo salamu nikama prohibiting hivi
Mchumba wangu ananifanyia yafuatayo japo anasema ananipenda
1:Yupo Whatsapp online lakini hata meseji anitumie
2:Yupo Facebook online niki mtumia text ajibu
3:Tukigombana kidogo ananiambia tuachane
4:Anakaa kimya hata heri ya Noeli sijapata
5:Ananijibu jeuri,ana niambia nina boa
Je nieendelee kuamini kuwa ananipenda
nb mimi ni mwanaume
Hakupendi hatakidogo huyo. Chapa lapa fasta .Mchumba wangu ananifanyia yafuatayo japo anasema ananipenda
1:Yupo Whatsapp online lakini hata meseji anitumie
2:Yupo Facebook online niki mtumia text ajibu
3:Tukigombana kidogo ananiambia tuachane
4:Anakaa kimya hata heri ya Noeli sijapata
5:Ananijibu jeuri,ana niambia nina boa
Je nieendelee kuamini kuwa ananipenda
nb mimi ni mwanaume
Hahaha askari muoga.ID yako tu imeshaonyesha kuwa Wewe ni Goigoi na hujiamini sasa unataka tuchangie nini tena Mkuu? Muwe mnaangalia na ID mnazosajili nazo humu kwani zinaweza kuwa na madhara Kimantiki kwa ama baadhi ya threads zako au posts zako. Kwanza waombe radhi haraka Maaskari wote kwa kukiri kwako kabisa kuwa Wewe ni Muoga. Hivi kuna Askari aliyefunzwa kabisa na akawa muoga kama ulivyowadhalilisha Wewe hapo katika ID yako?
Mchumba wangu ananifanyia yafuatayo japo anasema ananipenda
1:Yupo Whatsapp online lakini hata meseji anitumie
2:Yupo Facebook online niki mtumia text ajibu
3:Tukigombana kidogo ananiambia tuachane
4:Anakaa kimya hata heri ya Noeli sijapata
5:Ananijibu jeuri,ana niambia nina boa
Je nieendelee kuamini kuwa ananipenda
nb mimi ni mwanaume
Kumbe unajuaUnyimwa utamu