Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Kwani we unatakaje?Mchumba wangu ananifanyia yafuatayo japo anasema ananipenda
1:Yupo Whatsapp online lakini hata meseji anitumie
2:Yupo Facebook online niki mtumia text ajibu
3:Tukigombana kidogo ananiambia tuachane
4:Anakaa kimya hata heri ya Noeli sijapata
5:Ananijibu jeuri,ana niambia nina boa
Je nieendelee kuamini kuwa ananipenda
nb mimi ni mwanaume
Hata kuandika shida: Hujakosea (kama unatext namna hivyo kwake ndo maana anakueleza kuwa unaboa)ndio ujakosea kabisa
Yaani sio poa kabisa.Mkuu wakat mwingine naonaga ni roho mbaya tu au labda mtu ame loose common sense, kama humpend mtu si umuambie tu, kuna haja gani ya kuonesha signs na kumtesa mwenzio si unatamka mtu sentensi moja kua sikupendi tafuta mwingine...sjui kwanini hua inakua ngumu kutamka anataka amuone tu jamaa akihangaika na kuumia ...
Endelea kuamini tu ila hakupendi!Mchumba wangu ananifanyia yafuatayo japo anasema ananipenda
1:Yupo Whatsapp online lakini hata meseji anitumie
2:Yupo Facebook online niki mtumia text ajibu
3:Tukigombana kidogo ananiambia tuachane
4:Anakaa kimya hata heri ya Noeli sijapata
5:Ananijibu jeuri,ana niambia nina boa
Je nieendelee kuamini kuwa ananipenda
nb mimi ni mwanaume
Nimependa ulivoji include mamysasa utaka kuelewa nini lakini? hupendwi tafuta demu mwingine tupo wengi
NdiyoNimependa ulivoji include mamy
Run to the arms of the one who loves you.Ndiyo
Kesho niiteRun to the arms of the one who loves you.
Mmmmhsijambo shikamoo
Hiyo salamu nikama prohibiting hiviKesho niite