Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
Unagongelea msumari kune kidonda sioMmhhh mpaka anakuambia unabore....... Na kweli hata kwa kusoma apa inaonyesha tuu una bore
Unagongelea msumari kune kidonda sioMmhhh mpaka anakuambia unabore....... Na kweli hata kwa kusoma apa inaonyesha tuu una bore
Umeniwahi...nilitaka nikuteteeNaona unadandia scania kwa mbele..
Wewe ndio uko 1:4..uwe unaangali mda wa post *****
Jamaa kaedit huo uzi..
![]()
![]()
![]()
asante najua kupenda kwa kweli .. seam usiombe nikupende ohooo....
asante kiongozi nami nimeanza leo kukaa kimyaEmb na wewe jaribu kufanya hivo hivo.. Yaani usimtext usimpgie simu wala usimtafute kwa lolote uone itakuwaje.. Nadhani majibu yako utayapata kwa namna hiyo na sio Kwa kituuliza sisi mkuu..
Emb na wewe jaribu kufanya hivo hivo.. Yaani usimtext usimpgie simu wala usimtafute kwa lolote uone itakuwaje.. Nadhani majibu yako utayapata kwa namna hiyo na sio Kwa kutuuliza sisi mkuu..
Hahahaha!! Umeona Eeee scorpion meHakukuzi kuna kitu anataka kukunyima
Na asipompaKikubwa ukiomba k akupe na akikupa ukimwaga ujickie ile raha utamu mengine fuata yako mkuu.
Kikubwa ukiomba k akupe na akikupa ukimwaga ujickie ile raha utamu mengine fuata yako mkuu.
Mkuu wakat mwingine naonaga ni roho mbaya tu au labda mtu ame loose common sense, kama humpend mtu si umuambie tu, kuna haja gani ya kuonesha signs na kumtesa mwenzio si unatamka mtu sentensi moja kua sikupendi tafuta mwingine...sjui kwanini hua inakua ngumu kutamka anataka amuone tu jamaa akihangaika na kuumia ...Ishi na mwanamke kwa akili.....
Ukiona hafai achana nae,
ila kama utakomaa nae atakuumiza sana kichwa baadae.
Hapo tumia akili yako mkuu........
Happy new year ( * 2017 * ) soon.............!!!
Mkuu utapata ulcers na stress bureeeeNjoo kwangu utajuta that yo wish is granted![]()

Loud and clear......niamini mimi hakupendi

Ulcers tear bado stressMkuu utapata ulcers na stress bureeee![]()

Chonde chonde.....Mkuu..! we kama ni Mwanaume..
Endelea kuamini amini hadi siku utakaposikia Ameshaolewa na mwanaume mwenzako!
Huyu ndiyo mpenzi wako wa kwanza tangu umejua mapenzi?