JE bado niamini kuwa ananipenda

kaka jambo la msingi kaa chini na mpenzi wako then umwambie namna unavyochukizwa na tabia hiyo, jitahidi ufahamu msimamo wake kwako na mahusiano yenu kwa ujumla.
 
"....Siku utakayoanza kutilia mashaka mahusiano yako ni wazi kuwa kuna kitu hakipo sawa..."
 
Back
Top Bottom