JE bado niamini kuwa ananipenda

JE bado niamini kuwa ananipenda

mr-omar.jpg
He should go to Mr Omar for a brand new casket for his dead love
 
Zinduka ww hayo yote ni matokeo ya tabia zako ww hapo mwanzo umemtengenezea mitazamo tofauti na sasa ulikuwa unapritend vitabia sasa umerudi katika uhalisia wako cha kufanya jutiaa tu afu utakuwa umejifunza jinc ya kuishi naye
 
Ukisubiri sana yatakayokukuta utakuja kutuambia tena hapa
 
Hayo mahusiano yako yalivyo sasa, ni kama yangu yalivyo kwa pesa yani tunapishana. nikishika elfu kumi naona kama nimeshka pesa ya Zimbabwe

*Huyo sio mpenzi Bali mpenzi msikilizaji*
 
Mchumba wangu ananifanyia yafuatayo japo anasema ananipenda
1:Yupo Whatsapp online lakini hata meseji anitumie
2:Yupo Facebook online niki mtumia text ajibu
3:Tukigombana kidogo ananiambia tuachane
4:Anakaa kimya hata heri ya Noeli sijapata
5:Ananijibu jeuri,ana niambia nina boa
Je nieendelee kuamini kuwa ananipenda
nb mimi ni mwanaume

ID yako tu imeshaonyesha kuwa Wewe ni Goigoi na hujiamini sasa unataka tuchangie nini tena Mkuu? Muwe mnaangalia na ID mnazosajili nazo humu kwani zinaweza kuwa na madhara Kimantiki kwa ama baadhi ya threads zako au posts zako. Kwanza waombe radhi haraka Maaskari wote kwa kukiri kwako kabisa kuwa Wewe ni Muoga. Hivi kuna Askari aliyefunzwa kabisa na akawa muoga kama ulivyowadhalilisha Wewe hapo katika ID yako?
 
Out of point
 
Mimi kila nikipata babe boo mi ndio nakuwa super man kwake, yaani nakua nacontrol kila kituu yeye ni kufuata tu.

Natamani sana nipate babe boo mwenye visa kama hivyo iseeee
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Mmhhh mpaka anakuambia unabore....... Na kweli hata kwa kusoma apa inaonyesha tuu una bore
 
Back
Top Bottom