..zipo tetesi kuwa Babu Seya ataongoza kundi la wanamuziki watakaozunguka nchi nzima kupiga kampeni kwa niaba ya CCM.
..itakumbukwa kwamba Babu Seya amesamehewa kifungo tu, lakini haimaanishi kwamba amefutiwa hatia.
..Je, wananchi watakichukuliaje kitendo cha CCM kupigiwa kampeni na mtu aliyepatikana na hatia ya kuharibu watoto wadogo?
..Wapiga kura wakubwa wa CCM wamekuwa kina mama. Je, kina mama watampokeaje Babu Seya na CCM wakati wa kampeni?
..Suala la kuachiwa Babu Seya aliyelianzisha ni Edward Lowassa wa CDM. Wana CCM kadhaa walilipinga, na kwa maoni yangu walikuwa na hoja nzuri kabisa.
Kilichonishangaza ni Mwenyekiti wao kuichukua ahadi hiyo na kuifanyia kazi. Je, hakuna wana CCM waliochukizwa? Wale wana CCM waliokuwa wakipinga Babu Seya kuachiwa leo wamepotelea wapi?
..Je, Raisi Magufuli yuko tayari kuvumilia vijembe vya kampeni kupinga kitendo chake cha kumsamehe Babu Seya, na zaidi kumpokea Ikulu ambapo Baba wa Taifa alipaita mahali patakatifu?