Babu Seya amechukua nafasi ya Cpt.Komba.
Pia atatumika ktk kampeni za uzalendo.
Tumuombee mungu asibake tena
Anachukua nafasi ya Komba,Na wale 7997 nao wameandaliwa kupigia kampeni UKAWA? Acheni upuuz
Siasa za kiswahili hazitabiliki hivi ukija utawala mwingine haiwezi tengua maamuzi?..alitakiwa amwachie na kumtimua nchini arudi kwao DRC.
..lakini sasa anapewa attention na serekali kuzidi wasanii wetu vijana wazawa.
kha!Acha unaa wewe
Hivi Nyerere angeweza kufanya huu uchafu wa kuita walawiti ikulu?..wanaofanya ngono za kawaida na watoto wa shule wanapigwa vita kwelikweli.
..lakini hawa waliofanya ngono kinyume na maumbile na watoto wadogo wa kuwazaa wanapewa heshima.
..Hii siyo CCM aliyotuachia Baba wa Taifa.
Anachukua nafasi ya Komba,
..wanaofanya ngono za kawaida na watoto wa shule wanapigwa vita kwelikweli.
..lakini hawa waliofanya ngono kinyume na maumbile na watoto wadogo wa kuwazaa wanapewa heshima.
..Hii siyo CCM aliyotuachia Baba wa Taifa.
Sii itakua sawa na nakukumbushia ahadi ya Lowasa kwenye uchaguzi wa 2015 .lakini sio ajabu maana maccm hamnazo..zipo tetesi kuwa Babu Seya ataongoza kundi la wanamuziki watakaozunguka nchi nzima kupiga kampeni kwa niaba ya CCM.
..itakumbukwa kwamba Babu Seya amesamehewa kifungo tu, lakini haimaanishi kwamba amefutiwa hatia.
..Je, wananchi watakichukuliaje kitendo cha CCM kupigiwa kampeni na mtu aliyepatikana na hatia ya kuharibu watoto wadogo?
..Wapiga kura wakubwa wa CCM wamekuwa kina mama. Je, kina mama watampokeaje Babu Seya na CCM wakati wa kampeni?
..Suala la kuachiwa Babu Seya aliyelianzisha ni Edward Lowassa wa CDM. Wana CCM kadhaa walilipinga, na kwa maoni yangu walikuwa na hoja nzuri kabisa.
Kilichonishangaza ni Mwenyekiti wao kuichukua ahadi hiyo na kuifanyia kazi. Je, hakuna wana CCM waliochukizwa? Wale wana CCM waliokuwa wakipinga Babu Seya kuachiwa leo wamepotelea wapi?
..Je, Raisi Magufuli yuko tayari kuvumilia vijembe vya kampeni kupinga kitendo chake cha kumsamehe Babu Seya, na zaidi kumpokea Ikulu ambapo Baba wa Taifa alipaita mahali patakatifu?